Content removal request!


MAMBO MATANO (05) USIYOYAJUA KUHUSIANA NA MAURICIO CORTES MCOLOMBIA ANAETUA SIMBA

Simba Pro tunakuletea Mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Mshambuliaji anaetajwa kutua Simba katika dirisha hili la usajili Mambo hayo yatakufanya uweze kufahamu ubora wa nyota huyo pamoja na jinsi alivokua katika maisha yake ya Soka alikotoka kama utaona umepata kitu kimya basi usiache kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu Mtangazaji wako na mchambuzi naitwa Dullah Hassan. Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu Wasiliana nao kwa namba 0655155096 Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana