KAMWE AKWEPA KUMZUNGUMZIA AZIZ KI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema hakuna timu Afrika ambayo haipendi kuwa na mchezaji mwenye daraja la Stephane Aziz Ki, japo amekwepa kuzungumzia kwa undani tetesi zinazomhusisha kurejea mitaa ya Jangwani. Kamwe pia amesema kuna mchezaji walimpandisha thamani makusudi ili watu walipe hela nyingi. Kamwe amesema hayo leo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz #YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE
LIVE : SIMBA SC VS AZAM FC KIVUMBI LEO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB
LIVE :SIMBA VS KMC FC KIVUMBI LEO NANI KUWA BINGWA, SIMBA AU YANGA?
LIVE : SIMBA SC VS SINGIDA BS KIVUMBI LIGI KUU TANZANIA BARA
LIVE : MTIBWA SUGAR S VS SIMBA SC MECHI ZOTE ZIKO LIVE
LIVE : YANGA SC VS AZAM FC KIVUMBI LEO NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB
LIVE : MBEYA CITY VS SIMBA SC LIGI KUU SOKA YA NBC KIVUMBI LEO ,