https://www.youtube.com/@Wasafi_Media?sub_confirmation=1 WATCH WASAFI TVπΊ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM π» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mozzart Bet Prva liga Srbije 2023/24 - 6.Kolo: OFK BEOGRAD β NOVI SAD 1921 4:1 (0:0) Strelci: SaΕ‘a MarkoviΔ 58', Nikola ...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amezungumza namna Timu inavyoendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Merrikh ya Sudan,utakaochezwa Sept 16,2023 Uwanja wa Pele Kigali Rwanda. Kamwe amesema yapo Mabasi 24 kutoka Mikoa mbalimbali yatakayopeleka Mashabiki wa Yanga Rwanda,yakiwemo Mabasi ya Viongozi ambayo hadi sasa mawili yameshajaa,Basi la Rais wa Timu Eng. Hersi Said na Makamu wake Arafat Ally Haji.
Kocha huyo ambaye ni muumini wa kutumia mfumo wa 4-2-3-1, 4-1-3-2 na mara nyingine akitumia 4-1-3-1-1 amesema kwa sasa atalazimika kubadili mfumo kutokana na aina ya mechi zilizo mbele yake huku akikiri kuwa wachezaji wake wapo katika nafasi nzuri ya kucheza. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? β«οΈ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 β«οΈ Email: dar24newsroom@gmail.com β«οΈ Website: www.dar24.com β«οΈ Instagram: @Dar24news β«οΈ Facebook: @dar24 β«οΈ Twitter: @Dar24News #simbasc #miquissone #robertinho
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji βWingaβ wake Mahlatsi Makudubela βSkuduβ hayupo kwenye mipango yake na amempa programu maalum kwa ajili ya kumuweka sawa kabla hajaanza kumtumia kwenye kikosi chake huku akisema hakuna mchezaji aliye juu ya timu. Skudu alijiunga na Young Africans kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mallumo Gallant ya Afrika Kusini, ambapo tangu amejiunga na timu hiyo amefanikiwa kucheza mechi moja ya kimashindano kabla ya kuumia goti ambalo lilimpelekea arejee kwao Afrika Kusini kabla ya kurudi tena nchini juma lililopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? β«οΈ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 β«οΈ Email: dar24newsroom@gmail.com β«οΈ Website: www.dar24.com β«οΈ Instagram: @Dar24news β«οΈ Facebook: @dar24 β«οΈ Twitter: @Dar24News #yangasc #asecmimosas #gamondi
SASA ITAKUWAJE? FEI TOTO ACHARUKA KISA KUNUNUA MECHI UMEONA? ANATOA TAMKO ZITO CHEKI VIDEO NZIMA HII HAPA
China coach Sasa Dordevic after loss to Puerto Rico | FIBA Basketball World Cup.