Content removal request!


SIMBA HAPASHIKIKI/ MIQUISSONE, KRAMO WAIBUA JIPYA/ KOCHA AJITAFUTA/ ONANA, PHIRI, BALEKE/ TUTAJIPATA

Kocha huyo ambaye ni muumini wa kutumia mfumo wa 4-2-3-1, 4-1-3-2 na mara nyingine akitumia 4-1-3-1-1 amesema kwa sasa atalazimika kubadili mfumo kutokana na aina ya mechi zilizo mbele yake huku akikiri kuwa wachezaji wake wapo katika nafasi nzuri ya kucheza. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #miquissone #robertinho