Intégralité Match de qualification CHAN 2020 Bénin Togo (0-1)
Intégralité Match de qualification CHAN 2020 Bénin Togo (0-1)

Les Eperviers du Togo ont décroché un précieux succès 1-0 face aux Ecureuils cet après-midi au stade de Kégué synonyme d’accession au second tour  des qualifications du Chan Cameroun 2020 grâce à un but de Marouf Tchakei. Résumé Alors que le public scandait « Démission » à l’arrivée du sélectionneur des A , Claude Leroy en début de match , les Eperviers du jour quant à eux ne perdent pas du temps à entrer dans le vif du sujet.  Le Togo prend vite dans la possession dans un début de match engagé et brouillon. Le Bénin  va se signaler avec deux tentatives. Idrissou Saliou s’essayent de loin (10e) puis Mama Souraka de la tête (14e) de la tête aux six mètres sans accrocher le cadre. Plus entreprenant mais très approximatif , le Togo aura sa meilleure occase peu avant la pause. Servi dans le dos de la défense béninoise , Richard Nane trouve le cadre d’une frappe puissante mais aussi les gants de Dine Kakpo qui bosse le cuir (37e). Le premier acte moyen en termes de production s’achève sur le même score que le match aller, 0-0. Marouf Tchakei libère Kégué A la reprise la qualité de jeu ne s’améliore pas pour autant, le public s’agace.  Chaque équipe aura son opportunité sur cet acte.  Gaston Houngbédji place un pointu mou pour faire mouche suite à un centre de Rodrigue Fassinou (70e) Dans la foulée , la libération arrive pour les jaunes. Kossi Koudagba centre en cordeau au second poteau , Kakpo manque sa sortie , Marouf Tchakei marque d’une tête plongeante dans les buts vides (72e) Le Bénin va pousser dans le dernier quart d’heure sans y arriver malgré l’entrée de l’expérimenté Mouri Ogounbiyi. Patrick Sèdjamè aura la dernière occase sur un tir des dix-huit mètres qu’il décroise totalement (93e). Après le nul 0-0 décroché à Porto-Novo , il y a sept jours les Eperviers s’imposent 1-0 et filent au second tour face au Nigéria pour disputer un billet pour la phase finale. Géraud Viwami Feuille de match Stade Kégué Togo – Bénin 1-0 But : Tchakei 72e XI Bénin : Kakpo – Ogouchi , Yarou , Fassinou (Chabi 89e) , Ourou – Sèdjamè , Houngbédji (Ogounbiyi 76e) ,  Bonou – Aboky (Martins 80e) , Saliou , Souraka Coach :  Moussa Latoundji XI Togo : Aigba – Agbozo , Toudji , Ozou , Bodé – Akaté , Amekoudi , Tchatakora –  Nane , Tchakei ,  Koudagba Coach : Abalo Dosseh



Mashabiki Simba 'Watetema' Kabla Ya Kufungwa Na Sevilla 5-4
Mashabiki Simba 'Watetema' Kabla Ya Kufungwa Na Sevilla 5-4

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, Simba SC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa leo. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



NIYONZIMA: Sevilla ni zaidi Yetu, Wametufunga 5-4 Ni Wazoefu
NIYONZIMA: Sevilla ni zaidi Yetu, Wametufunga 5-4 Ni Wazoefu

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la #SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, #SimbaSC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa Mei 23, 2019. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



MO Dewji Apiga Picha na Mashabiki wa Simba Taifa
MO Dewji Apiga Picha na Mashabiki wa Simba Taifa

#SIMBA 4- 5 SEVILLA Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la #SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, Simba SC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa Mei 23, 2019. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



SIMBA SC 2-0 NDANDA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/05/2019)
SIMBA SC 2-0 NDANDA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/05/2019)

Simba SC imebakiza pointi mbili katika michezo mitatu iliyosalia kutetea taji lake la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Ndanda SC kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufikisha pointi 88 kileleni mwa msimamo wa ligi. Mabingwa hao watetezi wamepata ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Meddie Kagere ndani ya dakika kumi, akianza dakika ya 6 kwa pasi ya John Bocco, kisha dakika ya 11 kwa pasi ya Clatous Chama. Mabao hayo yamemfanya Kagere kufikisha jumla ya magoli 22 kwenye ligi kuu msimu huu, akimuacha kwa mbali mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo na mshambuliaji wa Mwadui FC Salim Aiyee wenye magoli 16 kila mmoja, huku Emmanuel Okwi na John Bocco wa Simba pia wakiwa nyuma yao na mabao 15 kila mmoja. Baada ya mchezo wa leo, Simba inasafiri kwenda mjini Singida ambako itacheza na Singida United Jumanne ya Mei 21, 2019, na endapo watapata ushindi basi shughuli itakuwa imekwisha msimu huu kwani watakuwa wamefikisha pointi 91 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote. Kwa upande wao Ndanda SC wameendelea kubaki kwenye nafasi yao ya nane wakiwa na pointi 47 na wamekiza mechi mbili ambzo zote watacheza nyumbani kwao Mtwara.



AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (18/05/2019)
AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (18/05/2019)

Timu ya African Lyon ambayo tayari imeshuka daraja, imejiongezea pointi moja baada ya kutoka sare na Mbeya City, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Lyon ndiyo waliotangulia kupata mabao yote mawili kupitia kwa Musht Bartoz dakika ya 21 na Awadhi Juma dakika ya 45+2 lakini Mbeya City walitumia dakika kumi za mwisho kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dakika ya 82 na Mohamed Kapeta dakika ya 90+5. Matokeo hayo yameifanya Lyon kufikisha pointi 23 ikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi huku Mbeya City ikifikisha pointi 47 na kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya saba sawa na Ndanda SC ambayo imeshuka hadi nafasi ya nane.



MAGOLI YOTE: AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY (TPL - 18/05/2019)
MAGOLI YOTE: AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY (TPL - 18/05/2019)

Timu ya African Lyon ambayo tayari imeshuka daraja, imejiongezea pointi moja baada ya kutoka sare na Mbeya City, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Lyon ndiyo waliotangulia kupata mabao yote mawili kupitia kwa Musht Bartoz dakika ya 21 na Awadhi Juma dakika ya 45+2 lakini Mbeya City walitumia dakika kumi za mwisho kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dakika ya 82 na Mohamed Kapeta dakika ya 90+5. Matokeo hayo yameifanya Lyon kufikisha pointi 23 ikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi huku Mbeya City ikifikisha pointi 47 na kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya saba sawa na Ndanda SC ambayo imeshuka hadi nafasi ya nane.



SIMBA SC 0-0 AZAM FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 13/05/2019)
SIMBA SC 0-0 AZAM FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 13/05/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameng’ang’aniwa kwenye Uwanja wa Uhuru kwa kulazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC. Timu zote zilionesha soka la kiwango cha juu ambapo Simba walifanya mashambulizi mengi zaidi langoni kwa Azam lakini walishindwa kupata bao kutokana na uimara wa safu ya ulinzi ya Azam iliyokuwa chini ya Agrey Moris na Yakubu Mohamed. Licha ya kushambuliwa zaidi, Azam walipoteza nafasi mbili za wazi kupitia kwa Donald Ngoma dakika ya 29 na Obrey Chirwa dakika ya 87, hivyo mchezo kumalizika kwa suluhu. Matokeo hayo yanaifanya Simba kubakiza pointi nane pekee ili kutetea taji lake, ikiwa imefikisha pointi 82 na mechi tano mkononi, wakati wapinzani wao wa karibu, Yanga wakiwa na pointi 81 na mechi tatu mkononi. Azam wao wanaendelea kukaa nafasi ya tatu wakifikisha pointi 69 na mechi mbili mkononi.




« Previous Next »


Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Neymar  #Football Defensive Skills  #Franck Ribery  #Shaquille O'Neal  #Best Champions League  #Luis Suarez  #Sergio Aguero  #Michael Jordan  #Neymar  

Popular Users

#kobebryant  #instagram  #Joey7Barton  #taylorswift13  #floydmayweather  #JLo  #britneyspears  #MichelleDBeadle  #strombone1  #nyt4thdownbot  #si_vault  #RobbieSavage8  #MariaSharapova  #jtimberlake  #Oprah