#SIMBA 4- 5 SEVILLA Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la #SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, Simba SC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa Mei 23, 2019. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars