SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 12/05/2019)
SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 12/05/2019)

Singida United imetoshana nguvu na JKT Tanzania kwa kufungana mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Namfua mjini Singida katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Wenyeji hao ndiyo waliokuwa wakitangulia kufunga na wageni kufanya kazi ya kuchomoa, magoli yote ya Singida United yakifungwa na Habibu Haji Kyombo dakika ya 30 na 50 huku magoli ya JKT yakifungwa na Dickson Chota dakika ya 45+4 na Samwel Kamuntu dakika ya 78. Matokeo hayo yameifanya JKT Tanzania kufikisha pointi 41 na kukaa nafasi ya 16 huku Singida United wakiwa na pointi 45 katika nafasi ya nane.

SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: MAGOLI YOTE (TPL - 12/05/2019)
SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: MAGOLI YOTE (TPL - 12/05/2019)

Singida United imetoshana nguvu na JKT Tanzania kwa kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Namfua mjini Singida. Wenyeji hao ndiyo waliokuwa wakitangulia kufunga na wageni kufanya kazi ya kuchomoa, magoli yote ya Singida United yakifungwa na Habibu Haji Kyombo dakika ya 30 na 50 huku magoli ya JKT yakifungwa na Dickson Chota dakika ya 45+4 na Samwel Kamuntu dakika ya 78. Matokeo hayo yameifanya JKT Tanzania kufikisha pointi 41 na kukaa nafasi ya 16 huku Singida United wakiwa na pointi 45 katika nafasi ya nane.

COASTAL UNION 1-2 SIMBA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 17/04/2019)
COASTAL UNION 1-2 SIMBA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 17/04/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea wimbi la ushindi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga. Wenyeji Coastal ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kuchanganyana na kipa wake Aishi Manula kuchanganyana. Dakika ya 48 Simba walipata penati baada ya Emmanuel Okwi kuangushwa ndani ya 18 na kipa wa Coastal Union, penati ambayo ilifungwa na Meddie Kagere ambaye pia aliifungia Simba bao la pili dakika ya 68. Matokeo hayo yanaifanya Simba iendelee kujiimarisha kwenye nafasi yake ya tatu ikifikisha pointi 60 huku Coastal Union wakiwa nafasi ya nane na pointi 41.

MAGOLI: COASTAL UNION 1-2 SIMBA SC: (TPL - 17/04/2019)

TPL ROUND 20 | MBEYA CITY 0-1 AZAM FC | YAKUBU AFANYA MAMBO
TPL ROUND 20 | MBEYA CITY 0-1 AZAM FC | YAKUBU AFANYA MAMBO

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli mkoani Mbeya baada ya kuichapa Mbeya City bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Sokoine, Mbeya leo jumapili. Ushindi huo unaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 66 kwenye msimamo wa ligi ikiwa nafasi ya pili ikizidiwa pointi nane na kinara Yanga aliyekuwa nazo 74, Simba iliyocheza mechi 22 ni ya tatu ikijikusanyia 57. Beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed, aliyeonekana kucheza vema kwenye eneo la beki ya kati sambamba na beki chipukizi kutoka Azam Academy, Lusajo Mwaikenda, ndiye aliyeipatia bao pekee timu hiyo dakika ya 45 akimalizia krosi iliyopigwa na kiungo, Mudathir Yahya, kufuatia mpira wa kona alioanzishiwa na Bruce Kangwa. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora #AfricanFrutiImenogaFresh #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited

Walichokisema Wachezaji Wa Taifa Stars Baada Ya Kufuzu Afcon 2019
Walichokisema Wachezaji Wa Taifa Stars Baada Ya Kufuzu Afcon 2019

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TANZANIA OYEEE, TAIFA STARS YAIGONGA UGANDA 3-0 NA KUFUZU AFCON 2019 TANZANIA imefuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda usiku huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya kiungo wa Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva na mabeki, Erasto Edward Nyoni wa Simba SC na Aggrey Morris Ambroce wa Azam FC za nyumbani, Tanzania na Uganda kufuzu kutoka Kundi L. Taifa Stars imefuzu kama mshindi wa pili wa kundi kwa pointi zake nane, nyuma ya Uganda iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Lesotho iliyomaliza na pointi sita na Cape Verde pointi tano. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Alichofanyiwa Kocha Amunike Baada Ya Taifa Stars Kufuzu AFCON

Wachezaji wa Uganda Walivyotua Kupigwa na Taifa Stars
Wachezaji wa Uganda Walivyotua Kupigwa na Taifa Stars

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TANZANIA imefuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya kiungo wa Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva na mabeki, Erasto Edward Nyoni wa Simba SC na Aggrey Morris Ambroce wa Azam FC za nyumbani, Tanzania na Uganda kufuzu kutoka Kundi L. Taifa Stars imefuzu kama mshindi wa pili wa kundi kwa pointi zake nane, nyuma ya Uganda iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Lesotho iliyomaliza na pointi sita na Cape Verde pointi tano. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

« Previous Next »

Popular Tags

#Derrick Rose  #Zlatan Ibrahimovi  #Gareth Bale  #Paul Pogba  #Stephen Curry  #Paul George  #Counter Attack Goals Football  #Neymar  #Manuel Neuer  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#RobGronkowski  #si_vault  #BellaTwins  #alexmorgan13  #itsBayleyWWE  #hunterpence  #MariaSharapova  #LarryFitzgerald  #JoelEmbiid  #BeingSalmanKhan  #BillGates  #Harry_Styles  #geniebouchard  #rihanna