MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.
MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.

Wananchi wamefika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kumpokea msanii kutoka kundi la KKL BOMOKO nchini Congo DR anayetamba na kibao cha "Tabulele", kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, @yangasc dhidi ya Al Ahly siku ya Novemba 2, 2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya kusubiri sana hatimaye Mwamba ndani ya nyumba, ndani ya Jiji kubwa la Kibiashara la Dar Es Salaam, anasema Yanga kwake ni zaidi ya timu, imempa thamani kubwa.



Magoli | Team Samatta 4-2 Team Kiba | SamaKiba 20/06/2023
Magoli | Team Samatta 4-2 Team Kiba | SamaKiba 20/06/2023

NIFUATE 2023: Team Samatta chini ya mwanandinga Mbwana Samatta imeendeleza ubabe dhidi ya Team Kiba iliyo chini ya msanii Alikiba kwa kupata ushindi wa mabao 4-2 katika mchezo wa hisani chini ya #SamakibaFoundation uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Abdul Suleiman Sopu amepiga #hattrick dakika ya 45', 63' na 71 huku goli lingine likifungwa na John Bocco aliyefungua mlango wa magoli dakika ya 21. Magoli ya Team Kiba yametoka kwa Ayoub Lyanga 69 na Msanii wa bongo fleva, Mario dakika ya 90'+4. Haya hapa magoli... #Nifuate2023 #NifuateDay #SamakibaFoundation #SAMAKIBA #TeamSamatta #TeamKiba #UpendoWaZambarau #SamattaFriends #AlikibaFriends #UpendoWaZambarau



TUNDAMAN: SIMBA NDIO MWAMBA AFRIKA KWA SASA
TUNDAMAN: SIMBA NDIO MWAMBA AFRIKA KWA SASA

Msanii wa bongofleva Tunda man amejigamba akisema hakuna kama simba afika baada ya ushindi wa 3;1 dhidi ya Singida Big ...



Team Samatta 3-3 Team Kiba (Pen 2-4) | Magoli, Penati & Kombe | Nifuate 18/06/2022
Team Samatta 3-3 Team Kiba (Pen 2-4) | Magoli, Penati & Kombe | Nifuate 18/06/2022

SAMAKIBA 2022: Team Kiba iliyo chini ya msanii Alikiba imebeba Kombe la Nifuate 2022 kwa kuichapa Team Samatta iliyo chini ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia sare ya mabao 3-3. Katika muda wa kawaida, magoli ya Team Kiba yamefungwa na Saimon Msuva aliyefunga mawili pamoja na Alikiba mwenyewe kwa penati huku magoli ya Team Samatta ayakifungwa na Kelvin John, Mbwana Samatta na Idd Gamba kwa penati. Mechi hii ni tamasha maalum la hisani kwa ajili ya kurejesha jamii ambalo hufanyika kila mwaka chini ya taasisi ya Samakiba Foundation, na mwaka huu limefanyika kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, na kushuhudia Team Kiba wakibeba ndoo.



MSANII WA FILAMU GABO ZIGAMBA ATAMBA SIMBA KUCHUKUA UBINGWA/"NAFASI BADO IPO"
MSANII WA FILAMU GABO ZIGAMBA ATAMBA SIMBA KUCHUKUA UBINGWA/"NAFASI BADO IPO"

Vita ya Alama Tatu Inashuhudiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Saalam Baina ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar Majira ...



UTACHEKA... Msikie 'Steve Nyerere' Baada ya mechi ya SIMBA vs YANGA
UTACHEKA... Msikie 'Steve Nyerere' Baada ya mechi ya SIMBA vs YANGA

Sahabiki na Msanii wa Tasnia ya Uchekeshaji Steve 'Nyerere' akitoa maoni kuhusiana na mchezo wa Simba dhidi ya Yanga ...



EXCLUSIVE: TAMBO ZA MBOTO KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO/SIMBA HAWANA KOCHA MZURI/WANA MZUNGU MREFU
EXCLUSIVE: TAMBO ZA MBOTO KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO/SIMBA HAWANA KOCHA MZURI/WANA MZUNGU MREFU

Mpenja TV tumefanya mahojiano na Msanii wa Vichekesho nchini, Haji Salum maarufu MBOTO ambaye ni shabiki kindakindaki wa Yanga SC. Mboto amemwaga tambo nyingine kuelekea Derby ya watani wa Jadi Jumamosi Novemba 11, 2021, uwanja wa Benjamin Mkapa. #Mboto #SimbaVsYanga #NBCPremierLeague #MpenjaTV



MBWEMBWE ZA MARIOO UWANJANI AKISINDIKIZWA NA PIKIPIKI KWENYE SIMBA DAY
MBWEMBWE ZA MARIOO UWANJANI AKISINDIKIZWA NA PIKIPIKI KWENYE SIMBA DAY

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani Marioo ambae anatoka burudani katika kilele cha wiki ya Simba SC yaani Simba DAY kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.




Next »


Popular Tags

#Best Goalkeeper Saves  #Shaquille O'Neal  #Golden State Warriors  #Cleveland Cavaliers  #Sergio Aguero  #Kobe Bryant  #Gareth Bale  #Best Champions League  #Chris Paul  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#strombone1  #Cristiano  #neymarjr  #BBCBreaking  #shakira  #rogerfederer  #katyperry  #twitter  #ddlovato  #themichaelowen  #incarceratedbob  #_BAnderson30_  #LilTunechi