Mpenja TV tumefanya mahojiano na Msanii wa Vichekesho nchini, Haji Salum maarufu MBOTO ambaye ni shabiki kindakindaki wa Yanga SC. Mboto amemwaga tambo nyingine kuelekea Derby ya watani wa Jadi Jumamosi Novemba 11, 2021, uwanja wa Benjamin Mkapa. #Mboto #SimbaVsYanga #NBCPremierLeague #MpenjaTV