Mchezaji Mbwana Samata, msanii Alikiba na Abdukiba wamezungumza wakati wamaandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa siku ya kesho wa Asas Nifuate unaozikutanisha team mbili moja ikiwa ni upande wa Alikiba na mwingine ni Upande wa Samata. PLAY VIDEO KUTAZAMA
๐๐ธ๐โโ ๐๐ธ๐๐ธ๐ฝ๐ ๐๐ ๐บ ๐๐ญ๐๐ -๐ฐ๐ญ๐ญ | ๐๐ฆ๐ง๐ฉ ๐ฎ๐ต๐ฒ | ๐ญ๐จ๐๐จ-๐ฌ๐ฎ๐ด ๐ฆ๐ง๐๐ฅ๐ง๐๐ ๐๐ฆ-๐ฐ๐ฐ๐ฐ & ๐ฏ๐ฏ๐ฏ | ๐๐ข๐๐ข๐ก๐จ๐ง ๐ง๐ฉ-๐ฎ๐ฌ |๐๐ผ๐ฑ๐ผ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ-๐ญ๐ญ๐ฏ ๐ฐ๐ต๐บ๐ป๐จ๐ฎ๐น๐จ๐ด: ๐ต๐๐๐ฝ๐://๐๐๐.๐ถ๐ป๐๐๐ฎ๐ด๐ฟ๐ฎ๐บ.๐ฐ๐ผ๐บ/๐๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐๐/ ๐ป๐พ๐ฐ๐ป๐ป๐ฌ๐น: ๐ต๐๐๐ฝ๐://๐๐๐ถ๐๐๐ฒ๐ฟ.๐ฐ๐ผ๐บ/๐๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐๐/ ๐ญ๐จ๐ช๐ฌ๐ฉ๐ถ๐ถ๐ฒ: ๐ต๐๐๐ฝ๐://๐๐๐.๐ณ๐ฎ๐ฐ๐ฒ๐ฏ๐ผ๐ผ๐ธ.๐ฐ๐ผ๐บ/๐๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐๐/ ๐๐๐๐๐ผโ ๐๐ธ๐๐ธ๐ฝ๐ ๐ฝ๐ ๐ป ๐ด๐ด.๐ต ๐๐๐ฅ ๐๐ฆ ๐ฆ๐๐๐๐๐ ๐ป | ๐ญ๐ฌ๐ฐ.๐ญ ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ ๐ป | ๐ต๐ฐ.๐ฑ ๐๐ฅ๐จ๐ฆ๐๐ ๐ป ๐ฝ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐โ: ๐ฐ๐ต๐บ๐ป๐จ๐ฎ๐น๐จ๐ด: ๐ต๐๐๐ฝ๐://๐๐๐.๐ถ๐ป๐๐๐ฎ๐ด๐ฟ๐ฎ๐บ.๐ฐ๐ผ๐บ/๐๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐ณ๐บ/ ๐ป๐พ๐ฐ๐ป๐ป๐ฌ๐น: ๐ต๐๐๐ฝ๐://๐๐๐ถ๐๐๐ฒ๐ฟ.๐ฐ๐ผ๐บ/๐๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐ณ๐บ/ ๐ญ๐จ๐ช๐ฌ๐ฉ๐ถ๐ถ๐ฒ: ๐ต๐๐๐ฝ๐://๐๐๐.๐ณ๐ฎ๐ฐ๐ฒ๐ฏ๐ผ๐ผ๐ธ.๐ฐ๐ผ๐บ/๐๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐ณ๐บ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐ ยฉ2020 ๐พ๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐ ๐๐. ๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #ibraah
MSANII wa Bongo fleva, Harmonize ( Konde Boy Jeshi), ameibua shangwe kwenye Uwanja wa Mkapa baada ya kushuka uwanjani na kamba .
Msanii Diamond Platnumz Aweka Historia Uwanja Wa Benjamin Mkapa Katika Tamasha La #Simbaday #Simba
Dar24 media kabla ya mchezo wa kirafiki ilifanya mahojiano na shabiki wa klabu ya Simba pia ni msanii wa maigizo Gabo Zigamba kuhusu uwezo wa mchezaji wao mpya Bernard Morrison ambapo alisema yupo tofauti na wengi kwamba yeye hayupo upande wa mchezaji huyo. Pia tulizungumza na ndugu wa mchezaji huyo akifunguka mengi kuhusu ndgu yake. #Gabozigamba #BernardMorrison #SimbaSC
Hivi ndivyo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz alivyopagawisha katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, ikumbukwe kuwa leo ni siku maalamu ya wanasimba ambapo wanatarajia kutambulisha wachezaji wao mbalimbali waliowasajili kwa ajili ya msimu mwaka 2020/2021 wa ligi kuu ya Vodacom.
HARMONIZE na SARAH Walivyoshuhudia MECHI Ya TAIFA STARS VS BURUNDI MSANII wa Bongo Fleva Harmonize alifika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kushuhudia mtanange wa TANZANIA VS BURUNDI akiwa na mke wake SARAH ambapo Mizuka ilimzidi na kujikuta akizunguka uwanja huku akiimba na mashabiki wa Timu ya Taifa. Ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Burundi timu zote zilitoshana nguvu Kwa kufungana bao 1-1, ambapo mchezo wa marudio umekuwa na faida kwa Tanzania baada ya kuichapa mabao 3-0 timu yas Burundi, mabao yaliyofungwa kwa mikwaju ya Penalt.. #TANZANIAvsBURUNDI https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho