Mpenja TV tumefanya mahojiano na Msanii wa Vichekesho nchini, Haji Salum maarufu MBOTO ambaye ni shabiki kindakindaki wa Yanga SC. Mboto amemwaga tambo nyingine kuelekea Derby ya watani wa Jadi Jumamosi Novemba 11, 2021, uwanja wa Benjamin Mkapa. #Mboto #SimbaVsYanga #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.
Leo May 08,2024 katika uwanja wa Azam complex kutachezwa mchezo mmoja wa NBC PREMIER LEAGUE ambao utazikutanisha Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar