Azam FC 2-2 Nyasa BB (Pen 2-4) | Magoli na mikwaju ya penati | Nusu Fainali Kagame Cup 11/08/2021
Azam FC 2-2 Nyasa BB (Pen 2-4) | Magoli na mikwaju ya penati | Nusu Fainali Kagame Cup 11/08/2021

AZAM VS NYASA: Azam FC imetupwa nje ya michuano ya #CecafaKagameCup kwa penati 4-2 dhidi ya Nyasa Big Bullets baaada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Ni katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Azam Complex, Chamazi, Nyasa wakifunga magoli yao yote mawili kupitia kwa Bright Munthali huku Oscar Masai akifunga goli moja upande wa Azam, na lingine likiwa ni la kujifunga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Express FC 1-0 Atlabara FC | Kagame Cup 02/08/2021
Highlights | Express FC 1-0 Atlabara FC | Kagame Cup 02/08/2021

Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu pia Express walimaliza wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu. red card Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Express vs Atlbara (1-0) | Goli na kadi nyekundu | Kagame Cup 02/08/2021
Express vs Atlbara (1-0) | Goli na kadi nyekundu | Kagame Cup 02/08/2021

Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Yanga 1-1 Nyasa Big Bullets | Magoli na kadi nyekundu | Kagame Cup 01/08/2021
Yanga 1-1 Nyasa Big Bullets | Magoli na kadi nyekundu | Kagame Cup 01/08/2021

Yanga na Nyasa Big Bullets ya Malawi zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 inayofanyika jijini Dar es Salaam. Goli la Yanga limefungwa na Wazir Junior dakika ya 7 wakati Nysa wakisawazisha kwa penati kupitia kwa Chiukepo Msowoya baada ya Abdallah Shaibu 'Ninja' kufanya madhambi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mikwaju ya penati | Tanzania 0-0 Burundi (Pen:6-5) | Fainali CECAFA U23 - 30/07/2021
Mikwaju ya penati | Tanzania 0-0 Burundi (Pen:6-5) | Fainali CECAFA U23 - 30/07/2021

Tanzania imetwaa ubingwa wa michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 #CecafaU23ChallengeCup kwa kuichapa Burundi penati 6-5 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo bahir Dar nchini Ethiopia. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021
Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021

Timu ya Tanzania Prisons imetoka sare ya bao 1-1 na Biashara United, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli la Biashara United limefungwa na Christian Zigah wakati Prisons wakichomoa kupitia kwa Mohamed Mkopi . Matokeo haya yameifanya Biashara United kumaliza msimu ikiwa nafasi ya nne na hivyo kushiriki michuano ya CAF Confederation Cup. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli  | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021
Magoli | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021

Timu ya Tanzania Prisons imetoka sare ya bao 1-1 na Biashara United, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli la Biashara United limefungwa na Christian Zigah wakati Prisons wakichomoa kupitia kwa Mohamed Mkopi . Matokeo haya yameifanya Biashara United kumaliza msimu ikiwa nafasi ya nne na hivyo kushiriki michuano ya CAF Confederation Cup.



🔴#LIVE​​​​​: ENGLAND vs GERMANY ( 2 - 0 ) - EURO 2021, WEMBLEY LONDON...
🔴#LIVE​​​​​: ENGLAND vs GERMANY ( 2 - 0 ) - EURO 2021, WEMBLEY LONDON...

🔴#LIVE​​​​​: ENGLAND vs GERMANY ( 2 - 0 ) - EURO 2021, WEMBLEY LONDON... Ni Michuano ya EURO 2020 ambapo mataifa ya Ulaya yanaoneshana ubabe katika mchezo wa soka, na leo Juni 29 ni mtanange wa kukata na shoka kati ya ENGLAND vs GERMANY... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Shot Goals  #David Silva  #Gareth Bale  #Mesut Ozil  #Gareth Bale  #Counter Attack Goals Football  #Kyrie Irving  #Neymar  #New York Knicks  #James Harden  

Popular Users

#SrBachchan  #selenagomez  #serenawilliams  #AdamSchefter  #katyperry  #CNN  #BringerOfRain20  #BillGates  #alexmorgan13  #sportspickle  #SteveNash  #RyanBabel  #DeAndre  #ddlovato  #themichaelowen