Yanga na Nyasa Big Bullets ya Malawi zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 inayofanyika jijini Dar es Salaam. Goli la Yanga limefungwa na Wazir Junior dakika ya 7 wakati Nysa wakisawazisha kwa penati kupitia kwa Chiukepo Msowoya baada ya Abdallah Shaibu 'Ninja' kufanya madhambi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz