Content removal request!


Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021

Timu ya Tanzania Prisons imetoka sare ya bao 1-1 na Biashara United, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli la Biashara United limefungwa na Christian Zigah wakati Prisons wakichomoa kupitia kwa Mohamed Mkopi . Matokeo haya yameifanya Biashara United kumaliza msimu ikiwa nafasi ya nne na hivyo kushiriki michuano ya CAF Confederation Cup. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz