JINSI SIMBA 'ITAKAVYOMFUNGA' AL AHLY  || HUTAAMINI || MBINU ZOTE HIZI HAPA.
JINSI SIMBA 'ITAKAVYOMFUNGA' AL AHLY || HUTAAMINI || MBINU ZOTE HIZI HAPA.

#Simba #AFL #alahly KARIBU AJE FARMS; https://www.youtube.com/@aje-farmsmashambayanayotem7392 AJE-FARMS LTD ni kampuni binafsi inayojishughulisha na Kilimo Biashara Mseto kwa kufanya shughuli za Kilimo na Ufugaji AJE-FARMS ilisajiriwa rasmi Tanzania mwaka 2016. Ni kampuni iliyoanzishwa na Madaktari wawili wa binadamu wote Dr .Hartig & Dr.Ibrahim Mdashiru ambao wote huamini kwenye "KINGA NI BORA KULIKO TIBA" na wote wanaamini kuwa magonjwa mengi yanaweza kukingwa kwa LISHE SAHIHI na mitindo bora ya maisha.Kilimo ni njia ya kwanza muhimu ya kukabiliana na magonjwa ! Kupitia chaneli hii tunalenga kuelimisha watazamaji/wafuatiliaji wa vipindi vyetu mbinu bora za kilimo biashara,ujasiriamali na mitindo bora ya maisha. Kupitia chaneli hii tutakusaidia kuyafikia masoko yenye tija kwa wakati,kuongeza thamani ya mazao yako, kulima kibiashara,kukupa msaada wa kupata teknolojia na zana bora za kilimo wakati wote. Timu yetu ya wataalam inaweza kukufikia popote na kukusaidia kutatua changamoto za kilimo & ufugaji. SUBSCRIBE NA UJIFUNZE ZAIDI JUU YA FURSA ZA KILIMO BIASHARA



YA MORRISON YAJIRUDIA YANGA/ GAMONDI ANG’AKA/ SKUDU, ZOUZOUA/ KOCHA ASEC/ MBONA BADO/ MTAONA MENGI
YA MORRISON YAJIRUDIA YANGA/ GAMONDI ANG’AKA/ SKUDU, ZOUZOUA/ KOCHA ASEC/ MBONA BADO/ MTAONA MENGI

Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wake Mahlatsi Makudubela ‘Skudu’ hayupo kwenye mipango yake na amempa programu maalum kwa ajili ya kumuweka sawa kabla hajaanza kumtumia kwenye kikosi chake huku akisema hakuna mchezaji aliye juu ya timu. Skudu alijiunga na Young Africans kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mallumo Gallant ya Afrika Kusini, ambapo tangu amejiunga na timu hiyo amefanikiwa kucheza mechi moja ya kimashindano kabla ya kuumia goti ambalo lilimpelekea arejee kwao Afrika Kusini kabla ya kurudi tena nchini juma lililopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #asecmimosas #gamondi



🔴#Live: ALLY KAMWE AFUNGUKA USAJILI YANGA, UZINDUZI wa JEZI, NAMBA 6 wa YANGA - "FRIJI HALIGANDISHI"
🔴#Live: ALLY KAMWE AFUNGUKA USAJILI YANGA, UZINDUZI wa JEZI, NAMBA 6 wa YANGA - "FRIJI HALIGANDISHI"

🔴#Live: ALLY KAMWE AFUNGUKA USAJILI YANGA, UZINDUZI wa JEZI, NAMBA 6 wa YANGA - "FRIJI HALIGANDISHI" GLOBAL TV imefanya mazungumzo na Msemaji wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe ambaye amefunguka mengi kuhusu usajili na tetesi ya chuma kipya kitachovaa jezi namba sita... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



ENGLAND walianza vizuri kwa kulipa kisasi chao, leo wamerudi nyumbani dhidi ya UKRAINE ya akina Zincheko. Unauona ushindi ukibaki Wembley leo? Kama hujafungua akaunti yako ya Bikosports unapitwa na mengi, #Bongeka kwa stake ya kuanzia TZS 1 tu @bikosportstz #BonusBonge #Bongeka



Highlights| Goli na kosakosa zote Simba vs Vipers 1-0 Simba wakikosa magoli mengi ya wazi/Chama aki
Highlights| Goli na kosakosa zote Simba vs Vipers 1-0 Simba wakikosa magoli mengi ya wazi/Chama aki

Goli na kosakosa zote Simba vs Vipers Simba wakikosa magoli mengi ya wazi/Vipers wakililia penalty.



LIVE:YANGA KUIMALIZA KMC TENA |SIMBA AZAM MAKOSA YALIKUWA MENGI|KIBU AZALIWA UPYA |GEITA KAMA YANGA
LIVE:YANGA KUIMALIZA KMC TENA |SIMBA AZAM MAKOSA YALIKUWA MENGI|KIBU AZALIWA UPYA |GEITA KAMA YANGA

LIVE:YANGA KUIMALIZA KMC TENA |SIMBA AZAM MAKOSA YALIKUWA MENGI|KIBU AZALIWA UPYA |GEITA KAMA YANGA




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goalkeeper Saves  #Amazing Solo Goals  #Michael Jordan  #Neymar  #Miami Heat  #Stephen Curry  #Football Skills  #Derrick Rose  #Kyrie Irving  #David Silva  

Popular Users

#Drake  #DjokerNole  #criscyborg  #LAKings  #tigerwoods  #wizkhalifa  #KingJames  #BrunoMars  #taylorswift13  #themichaelowen  #si_vault  #_BAnderson30_  #hunterpence  #IAmJericho  #DeionSanders