Content removal request!


AWESU AWESU apigiwa Simu na rais wa Yanga KUSAJILIWA, ATOA SOMO mashabiki wa SIMBA/amtaja ALY KAMWE

Kiungo wa Kmc Awesu Awesu amefanya mahojiano na kituo cha habari cha Rickmedia kuhusian na tetesi za kuwasiliana na raisi wa Yanga Eng Hersi Said juu ya kutua kikosi cha yanga, Kiungo huyo amefunguka mengi akiweka wazi kuwa ni kweli amekuwa akiwasiliana na raisi wa Yanga na walishazungumza juu ya kutua Yanga . Lakini pia kiungo huyo amegusia sakata la kusema wao (Kmc) wanajikaza wakikutana na Simba tu lakini wakikutana na Yanga mambo yanakuwa tofauti .. ........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com -----------------------------------------------------------------------------------