Content removal request!


Mashabiki Simba waihofia Yanga "Tumemuachia Mungu, Timu yetu ina matatizo mengi

Mashabiki wa Simba SC wametaka kocha afanye mabadiliko ya kikosi chao na kuanza kuwatumia vijana wadogo tofauti na kikosi kinachoanza kwenye mechi za hivi karibuni. Hayo wameyasema hii leo Aprili 13, 2024 kufuatia sare dhidi ya Ihefu ikiwa ni muendelezo usioridhisha wa kikosi chao katika michezo zaidi ya 3 ya mwisho Wakizungumza na mwananchi digital baada ya mchezo wao dhidi ya Ihefu kuisha wamesema ni muda sasa wa kupewa nafasi vijana wadogo kama Chassambi kuonyesha uwezo wao walionao na kudai wanaoanzishwa hivi Sasa hawajitumi.