Leo April 17, Unapigwa Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaopigwa Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mpenja TV Tumeshafika Dimba la Benjamin Mkapa Kukusogezea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza Kutoka Hapa #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #BarakaMpenja
Kuelekea Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaotaraji Kupigwa Jumapili hi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mtangazaji Wa Soka Kutoka Azam TV Gharibu Mzinga Ameainisha Udhaifu Wa Orlando Pirates na Kutoa Utabiri Wake Kuelekea Mchezo Huu Mpenja TV Tumefanya Nae Mazungumzo Maalumu kabisa Amefunguka Mengi Sana #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #GharibuMzinga #BarakaMpenja
Moshi Kumetakata,,Ushirika Pamekucha,Leo Jumapili ya Tarehe 10/4/2022,Ni Mbungi ya Kukata na Shoka kati ya Maafande Polisi Tanzania dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc,Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Ni Majira ya Saa Kumi za Jioni, Mpenja Tv Tupo Kukuletea kila kitakachojili kwenye Mchezo huo,Kaa Nasi usipitwe na Lolote. #MpenjaTv #PolisiTanzaniavsSimbaSc #Moshi #UwanjawaUshirika #SimbaSc
Leo April 6, 2022 Unapigwa mchezo Wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara baina ya Azam FC na Yanga mchezo unaopigwa hapa Azam Complex Chamazi majira ya Saa 20:15 Usiku Mpenja TV tuko hapa Uwanja Wa Azam Complex Chamazi kukuletea kila Nukta ya Jambo linalochomoza hapa #MpenjaTV #mpenjatv #AzamFC #YangaSC #AzamfcvsYangaSC #NBCPremierleague #Ligikuu #live
🔴#LIVE: AZAM FC vs YANGA SC - DERBY ya DSM, PENGO la BANGALA, AUCHO, MOTO wa PRINCE DUBE, HAPATOSHI! KARIBU utazame 'Uchambuzi' kutoka Global TV kuelekea Mechi ya kukata na shoka ya ligi kuu bara kati ya AZAM FC vs YANGA SC, itakayochezwa majira ya saa 2 na robo katika dimba la Chamazi jijini DAR. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: SIMBA SC vs USGN ( 0 - 0 ) - MECHI YA MARUDIANO, BENJAMINI MKAPA STADIUM.. KARIBU kuhesabu dakika 90 za mtanange wa kukata na shoka kati ya SIMBA vs USGN, unaaochezwa katika dimba la Mkapa majira ya saa 4 usiku, leo Aprili 03, 2022.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Leo March 01, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Coastal Union kutoka Tanga katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mpenja TV tumekita Kambi katika Uwanja wa Chamazi Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza hapa #MpenjaTv #AzamFcVsCoastalUnion #Nbc
Leo March 01, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Coastal Union kutoka Tanga katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mpenja TV tumekita Kambi katika Uwanja wa Chamazi Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza hapa #MpenjaTv #AzamFcVsCoastalUnion #Nbc