Leo April 6, 2022 Unapigwa mchezo Wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara baina ya Azam FC na Yanga mchezo unaopigwa hapa Azam Complex Chamazi majira ya Saa 20:15 Usiku Mpenja TV tuko hapa Uwanja Wa Azam Complex Chamazi kukuletea kila Nukta ya Jambo linalochomoza hapa #MpenjaTV #mpenjatv #AzamFC #YangaSC #AzamfcvsYangaSC #NBCPremierleague #Ligikuu #live