Mchezaji wa kimataifa wa Kenya Michael Olunga alifunga mabao mawili na kuisaidia Al Duhail SC kuishinda Qatar SC mabao matano kwa sifuri kwenye mchuano wa ligi kuu ya nchini Qatar uliochezwa katika uwanja wa Grand Hamad. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #MichaelOlunga#QatarStarsLeague
Wagosi wa Kaya, Coastal Union wametandikwa mabao 2-0 na Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Nyankumbu mkoani Geita. Magoli ya Geita yamefungwa na George Mpole kwa penati pamoja na Danny Lyanga, yote yakifungwa ndani ya dakika mbili.
RUVU vs SIMBA: Mabingwa watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Simba SC wameichaka Ruvu Shooting mabao 7-0 katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika ushindi huo Clatous Chama amepiga #Hattrick yake ya kwanza tangu kurejea Msimbazi, huku John Bocco akifunga mawili, Jimmyson Mwanuke moja na Ruvu Shooting wakajifunga moja.
Yanga SC imeichapa Biashara United mabao 2-1 na kutinga robo fainali ya #AzamSportsFederationCup , mechi ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yanick Bangala pamoja na Fiston Mayele dakika ya 22 na 28 huku goli pekee la Biashara likifungwa na Collins Opare dakika ya 38.
KOCHA wa ASEC MIMOSAS AJITETEA - "WACHEZAJI Wangu WENGI sio WAZOEFU, HILI KWETU ni FUNZO" DAKIKA 90 za mtanange wa kombe la shirikisho hatua ya makundi kati ya SIMBA vs ASEC MIMOSAS, zimemalizika kwa Mnyama kumtandika mgeni wake mabao ( 3 - 1)... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
UCHAMBUZI: SIMBA vs ASEC ( 3 -1) - GOLI la SAKHO, KIWANGO cha BOCCO na BANDA, MBINU za KOCHA PABLO.. DAKIKA 90 za mtanange wa kombe la shirikisho hatua ya makundi kati ya SIMBA vs ASEC MIMOSAS, zimemalizika kwa Mnyama kumtandika mgeni wake mabao ( 3 - 1)... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Kagera Sugar imeendeleza ubabe kwa kushinda mchezo wa tatu mfululizo kwenye ligi kuu baada ya leo kuitandika Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Kaitaba mjini Bukoba. Eric Mwijage ndiye aliyefunga magoli yote mawili ya Kagera Sugar huku Vicent Abubakary Vicent akifunga goli pekee la Coastal Union.
Azam FC imeendeleza ubabe kwenye #NBCPremierLeague kwa kuitandika Dodoma Jiji mabao 2-0, mechi ikichezwa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Azam yamefungwa na Rodgers Kola dakika ya 5 na Idris Mbombo dakika ya 64. Tazama hapa magoli yenyewe.