Content removal request!


Yanga 2-1 Biashara United | Highlights | ASFC 15/02/2022

Yanga SC imeichapa Biashara United mabao 2-1 na kutinga robo fainali ya #AzamSportsFederationCup , mechi ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yanick Bangala pamoja na Fiston Mayele dakika ya 22 na 28 huku goli pekee la Biashara likifungwa na Collins Opare dakika ya 38.