Content removal request!


Magoli | Azam 2-0 Dodoma Jiji | NBC Premier League 04/02/2022

Azam FC imeendeleza ubabe kwenye #NBCPremierLeague kwa kuitandika Dodoma Jiji mabao 2-0, mechi ikichezwa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Azam yamefungwa na Rodgers Kola dakika ya 5 na Idris Mbombo dakika ya 64. Tazama hapa magoli yenyewe.