Magoli | Simba vs Biashara United (3-0) | NBC Premier League 04/03/2022
Magoli | Simba vs Biashara United (3-0) | NBC Premier League 04/03/2022

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Biashara United kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote matatu yamefungwa ndani ya dakika 20 za kwanza...akianza Pape Sakho dakika ya 9, Mzamiru Yassin dakika ya 14 na Clatous Chama dakika ya 18.

Magoli yote Yanga ikiichapa Kagera Sugar 3-0 NBC Premier League 27/02/2022
Magoli yote Yanga ikiichapa Kagera Sugar 3-0 NBC Premier League 27/02/2022

Vinara wa ligi kuu, Yanga SC leo wametoa kichapo cha mabao 3-0 kwa Kagera Sugar katika mbungi iliyopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika mchezo huu, Fiston Mayele amefunga magoli mawili dakika ya 30 na 50 huku la tatu likipigwa na Saidi Ntibazonkiza dakika ya 64.

Mbeya Kwanza 1-2 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 26/02/2026
Mbeya Kwanza 1-2 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 26/02/2026

Mtibwa Sugar imepata ushindi wake wa tatu msimu huu kwenye ligi baada ya kuichapa Mbeya Kwanza mabao 2-1 katika game iliyopigwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Mtibwa wametangulia kupitia kwa Mululi Mayanja , Mbeya wakachomoa kwa penati ya Habibu Kyombo lakini Mtibwa wakaongeza la pili kwa goli la Omary Sultan.

Magoli | Mbeya Kwanza 1-2 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 26/02/2022

UCHAMBUZI: UTATA GOLI LA FEI TOTO, NI MKONO KWELI AU KICHWA - "YANGA INA WACHEZAJI BORA"
UCHAMBUZI: UTATA GOLI LA FEI TOTO, NI MKONO KWELI AU KICHWA - "YANGA INA WACHEZAJI BORA"

UCHAMBUZI: UTATA GOLI LA FEI TOTO, NI MKONO KWELI AU KICHWA - "YANGA INA WACHEZAJI BORA" DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu bara kati ya Mtibwa Sugar vs Yanga, zimemalizika kwa wananchi kuvuna alama tatu kwa kuwatandika walima sukari mabao ( 0-2) kwenye uwanja wa Manungu kupitia kwa Saido Ntibazonkiza na Fiston Mayele... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Mtibwa Sugar 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 23/02/2022
Mtibwa Sugar 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 23/02/2022

Vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga SC wameipiga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye Manungu Complex mkoani Morogoro. Magoli ya Yanga yametoka kwa Saidi Ntibazonkiza dakika za nyongeza kipindi cha kwanza na Fiston Mayele dakika ya 66

Mayele azawadiwa ng'ombe Manungu baada ya Yanga kuipiga 2-0 Mtibwa Sugar
Mayele azawadiwa ng'ombe Manungu baada ya Yanga kuipiga 2-0 Mtibwa Sugar

MAYELE APEWA NG’OMBE: Ni baada ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Dimba la Manungu mkoani Morogoro. Straika wa Yanga, Fiston Mayele ambaye alikuwa ndiye mfungaji wa bao la pili, amekutana na zawadi ya ng’ombe kutoka kwa shabiki Mauya. Hili hapa tukio la makabidhiano, huku Mayele mwenye akitoa neno la shukran.

Michael Olunga aifungia Al Duhail SC mabao mawili na kuisaidia kuishinda Qatar SC
Michael Olunga aifungia Al Duhail SC mabao mawili na kuisaidia kuishinda Qatar SC

Mchezaji wa kimataifa wa Kenya Michael Olunga alifunga mabao mawili na kuisaidia Al Duhail SC kuishinda Qatar SC mabao matano kwa sifuri kwenye mchuano wa ligi kuu ya nchini Qatar uliochezwa katika uwanja wa Grand Hamad. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #MichaelOlunga#QatarStarsLeague

« Previous Next »

Popular Tags

#Shaquille O'Neal  #Lionel Messi  #Kyrie Irving  #Goal Celebrations  #Philadelphia 76ers  #Ronaldinho  #Sergio Aguero  #Paul George  #Thomas Muller  #Counter Attack Goals Football  

Popular Users

#billbarnwell  #BringerOfRain20  #espn  #instagram  #MariaSharapova  #kobebryant  #obj  #Kaepernick7  #akshaykumar  #Joey7Barton  #imVkohli  #kevinlove  #JoelEmbiid  #TheNotoriousMMA  #MikePereira