Content removal request!


Geita Gold FC 2-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 19/02/2022

Wagosi wa Kaya, Coastal Union wametandikwa mabao 2-0 na Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Nyankumbu mkoani Geita. Magoli ya Geita yamefungwa na George Mpole kwa penati pamoja na Danny Lyanga, yote yakifungwa ndani ya dakika mbili.