Content removal request!


Ruvu Shooting 0-7 Simba | Highlights | ASFC 16/02/2022

RUVU vs SIMBA: Mabingwa watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Simba SC wameichaka Ruvu Shooting mabao 7-0 katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika ushindi huo Clatous Chama amepiga #Hattrick yake ya kwanza tangu kurejea Msimbazi, huku John Bocco akifunga mawili, Jimmyson Mwanuke moja na Ruvu Shooting wakajifunga moja.