Content removal request!


Magoli yote Yanga ikiichapa Kagera Sugar 3-0 NBC Premier League 27/02/2022

Vinara wa ligi kuu, Yanga SC leo wametoa kichapo cha mabao 3-0 kwa Kagera Sugar katika mbungi iliyopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika mchezo huu, Fiston Mayele amefunga magoli mawili dakika ya 30 na 50 huku la tatu likipigwa na Saidi Ntibazonkiza dakika ya 64.