NAMUNGO vs AZAM: Nyota wa Azam FC, Prisons Dube amefunga goli lake la kwanza kwenye ligi msimu huu, akiiongoza timu yake kuifunga Namungo FC mabao 2-1 ugenini. Katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi, Namungo wametangulia kupata bao kupitia kwa Mohamed Issa Banka lakini Azam wakachomoa kwa goli la Prince Dube na kisha kupiga la pili kupitia kwa Ismail Aziz Kader.
Biashara United imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Magoli yote mawili ya Biashara United yamefungwa na Deogratius Judika Mafie dakika ya 26 na 34 huku Prisons wakijipatia bao lao kupitia kwa Ezekiah Mwashilindi
Mabingwa watetezi Tusker FC waliishinda Kariobangi Sharks bao moja kwa sifuri kwenye mechi ya ligi kuu iliyochezwa katika uwanja wa Ruaraka mjini Nairobi. Kwingineko, KCB iliilemea Wazito FC mabao mawili kwa sifuri katika uwanja wa Kasarani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #TuskerFC #KariobangiSharks #KenyaPremierLeague
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV UWANJA wa Mkapa Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji. Ni mabao ya Clatous Chama kwa mkwaju wa penalti na Meddie Kagere ambaye alipachika bao hilo kwa kichwa akiwa ndani ya 18. Kagere anafikisha bao la sita ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22. John Bocco nahodha alikwama kukamilisha dakika 90 kwa kuwa alipata maumivu Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Ligi Kuu Ya NBC Imeendeleea Leo Na Mchezo Wa Mwisho Ulikuwa Kati Ya Simba SC Pamoja Na Dodoma Jiji FC Na Mabingwa Hawa Watetezi Simba SC Wamemaliza Mechi Kwa Ushindi Wa Mabao Mawili Dhidi Ya Sifuri Ya Dodoma JiJi fc....Magoli Yalifungwa Na Clatous Chota Chama Pamoja Na MK14 . . . KWA HABARI ZA MICHEZO KAMA HIZI USIACHE KUSUBSCRIBE CHANNEL YETY UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE..... BUBOrankTV Keep It Live Baby!!! . . CREDITS TO : @AZAMTV 💪👊⚽ #simbasc #dodomajijifc #highlights
UCHAMBUZI: KIWANGO cha BANDA na SAKHO, MBIO za SIMBA na YANGA Kwenye UBINGWA.. DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu bara kati ya Simba vs Dodoma Jiji, zimemalizika kwa mnyama kuvuna alama 3 kwa ushindi wa mabao ( 2-0) yaliyowekwa kimiani na Clatous Chama kwa mkwaju wa Penalti na lingine limefungwa na Meddie Kwa Kagere, akimalizia majalo safi yaliyojazwa na Peter Banda. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KIPA wa DODOMA JIJI AKIRI MZIKI wa SAKHO na BANDA ni wa KIBABE, Aipigia SALUTI SIMBA... DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu bara kati ya Simba vs Dodoma Jiji, zimemalizika kwa mnyama kuvuna alama 3 kwa ushindi wa mabao ( 2-0) yaliyowekwa kimiani na Clatous Chama kwa mkwaju wa Penalti na lingine limefungwa na Meddie Kwa Kagere, akimalizia majalo safi yaliyojazwa na Peter Banda. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
MZEE MUCHACHO AMEAPA - "MAYELE AKIIFUNGA SIMBA TENA NAMPA MBUZI, TUTAKULA NAE BIRIANI SAHANI MOJA" DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu bara kati ya Simba vs Dodoma Jiji, zimemalizika kwa mnyama kuvuna alama 3 kwa ushindi wa mabao ( 2-0) yaliyowekwa kimiani na Clatous Chama kwa mkwaju wa Penalti na lingine limefungwa na Meddie Kwa Kagere, akimalizia majalo safi yaliyojazwa na Peter Banda. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline