MAYELE APEWA NG’OMBE: Ni baada ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Dimba la Manungu mkoani Morogoro. Straika wa Yanga, Fiston Mayele ambaye alikuwa ndiye mfungaji wa bao la pili, amekutana na zawadi ya ng’ombe kutoka kwa shabiki Mauya. Hili hapa tukio la makabidhiano, huku Mayele mwenye akitoa neno la shukran.