Rodgers Ouma aliwapa mabingwa watetezi Tusker FC uongozi katika dakika ya 64. Lawrence Luvanda aliihakikishia Tusker FC ...
Polisi Tanzania imetandika Mtibwa Sugar mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania uliochezwa leo kwenye Dimba ...
Polisi Tanzania imetandika Mtibwa Sugar mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania uliochezwa leo kwenye Dimba ...
Timu ya Mbeya Kwanza leo imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania ...
Abdul Hamis Suleiman Sopu amefunga magoli mawili na kuipa Coastal Union ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV WENYEJI, Biashara United wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na vigogo, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Yanga walitangulia na bao la mshambuliaji wake Mkongo, Fiston Kalala Mayele dakika ya 75, kabla ya Collins Opare kuisawazishia Biashara United dakika ya 78. Mayele anafikisha mabao 14 na kumfikia mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole katika kinyang’anyiro cha ufungaji Bora. Yanga inafikisha pointi 64 katika mchezo wa 26 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 13 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Biashara United wenyewe wanafikisha pointi 24 katika mchezo wa 25 na kupanda nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, wakiizidi wastani wa mabao tu Tanzania Prisons. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Mabingwa wa ligi kuu ya wanawake Tanzania bara, Simba Queens wameitandika baobab Queens mabao 3-0 katika mchezo wa mwisho wa ligi hiyo uliochezwa kwenye Dimba la Uhuru, jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba Queens kwenye mchezo huu yamefungwa na Pambani kuzoya dakika ya 2, Asha Jaffary dakika ya 50 na Joelle Bukuru dakika ya 90'
Yanga SC imeitandika Dodoma Jiji mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo mei 15, 2022 kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamrfungwa na Dickson Ambundo dakika ya 13 na lingine la kujifunga kutoka kwa golikipa wa Dodoma Jiji, Mohamed Yusuph dakika ya 35. Katika mchezo huo pia Dodoma Jiji wamepata pigo kwa kiungo wao Hassan Nassor Maulid kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu kiungo wa Yanga, Yannick Bangala.