Team Samatta 3-3 Team Kiba (Pen 2-4) | Magoli, Penati & Kombe | Nifuate 18/06/2022
Team Samatta 3-3 Team Kiba (Pen 2-4) | Magoli, Penati & Kombe | Nifuate 18/06/2022

SAMAKIBA 2022: Team Kiba iliyo chini ya msanii Alikiba imebeba Kombe la Nifuate 2022 kwa kuichapa Team Samatta iliyo chini ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia sare ya mabao 3-3. Katika muda wa kawaida, magoli ya Team Kiba yamefungwa na Saimon Msuva aliyefunga mawili pamoja na Alikiba mwenyewe kwa penati huku magoli ya Team Samatta ayakifungwa na Kelvin John, Mbwana Samatta na Idd Gamba kwa penati. Mechi hii ni tamasha maalum la hisani kwa ajili ya kurejesha jamii ambalo hufanyika kila mwaka chini ya taasisi ya Samakiba Foundation, na mwaka huu limefanyika kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, na kushuhudia Team Kiba wakibeba ndoo.

Simba 3-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 16/06/2022
Simba 3-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 16/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo ...

Magoli yote | Simba 3-0 Mbeya City | NBC Premier League 16/06/2022
Magoli yote | Simba 3-0 Mbeya City | NBC Premier League 16/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo ...

FULL VIBE..!! TAZAMA walichokifanya wachezaji  YANGA baada ya kutwaa UBINGWA NBC 2021/22
FULL VIBE..!! TAZAMA walichokifanya wachezaji YANGA baada ya kutwaa UBINGWA NBC 2021/22

RASMI klabu ya Yanga imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya 28 baada ya ukame wa misimu minne huku ikiwa na michezo mitatu mkononi kufuatia kuifunga Coastal Union ya Tanga mabao 3-0.

YANGA ILIVYOTUA KIBABE UWANJA WA MKAPA KUBEBA UBINGWA DHIDI YA COASTAL UNION
YANGA ILIVYOTUA KIBABE UWANJA WA MKAPA KUBEBA UBINGWA DHIDI YA COASTAL UNION

yangasc #yanga #yangaleo Telegram: https://t.me/KidanistarsTV MABAO mawili ya Fiston Mayele na moja la Chiko Ushindi ...

Mtigwa Sugar 3-1 Ruvu Shooting | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022
Mtigwa Sugar 3-1 Ruvu Shooting | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022

Timu ya Mtibwa Sugar imeichapa Ruvu Shooting mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la ...

Magoli | Mtibwa Sugar 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 13/06/2022
Magoli | Mtibwa Sugar 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 13/06/2022

Timu ya Mtibwa Sugar imeichapa Ruvu Shooting mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la ...

Tusker FC Watawazwa mabingwa wa ligi kuu nchini baaada ya kuilaza Posta Rangers
Tusker FC Watawazwa mabingwa wa ligi kuu nchini baaada ya kuilaza Posta Rangers

Tusker ilitwaa taji hiyo baaada ya kuwapiku kwa ubora wa mabao wakinzani wao wa Karibu Kakamega Homeboyz waliopata ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Thomas Muller  #Goal Celebrations  #Zlatan Ibrahimovi  #Russell Westbrook  #Neymar  #Chris Paul  #Shaquille O'Neal  #Kawhi Leonard  #Kevin Durant  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#imVkohli  #PMOIndia  #KDTrey5  #CNN  #incarceratedbob  #TheEllenShow  #rioferdy5  #YouTube  #AntDavis23  #jimmyfallon  #cnnbrk  #strombone1  #nytimes