Goli la Burundi | Tanzania 0-1 Burundi - Mechi ya Kirafiki 11/10/2020
Goli la Burundi | Tanzania 0-1 Burundi - Mechi ya Kirafiki 11/10/2020

Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imepoteza mchezo wake wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Burundi kwa kichapo cha bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo pekee ni Saidi Ntibazonkiza dakika ya 85 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE: BUILD UP KUEKELEA MECHI YA TANZANIA VS BURUNDI - 11/10/2020
LIVE: BUILD UP KUEKELEA MECHI YA TANZANIA VS BURUNDI - 11/10/2020

TANZANIA VS BURUNDI: INTERNATIONAL FRIENDLY - Fuatilia uchambuzi kuelekea mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Burundi (Intamba Murugamba), unaochezwa Uwanja wa benjamini Mkapa, Dar es salaam, LIVE #AzamSports1HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA"
TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA"

TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA" KLABU ya Yanga imeibuka na ushindi wa bao (1-0) dhidi ya Mwadui FC kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na mshambuliaji wao namba moja, Michael Sarpong, dakika ya 81 na kuwainua mashabiki wa timu ya Yanga inayonolewa na Kaimu Kocha, Juma Mwambusi. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Mwambusi kusisimama akiwa kwenye benchi baada ya Zlatko Krmpotic, kufutwa kazi Oktoba 3 baada ya kumaliza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkapa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Goli ya Michael Sarpong | Yanga 1-0 Mwadui - Mechi ya Kirafiki 09/10/2020
Goli ya Michael Sarpong | Yanga 1-0 Mwadui - Mechi ya Kirafiki 09/10/2020

Assist ya Carlos Carlinhos imeipa Yanga bao pekee kupitia kwa Michael Sarpong katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Tazama ilivyokuwa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kisinda, Sarpong wanogesha Siku ya Mwananchi, Yanga ikiipiga 2-0 Aigle Noir; Tazama Highlights
Kisinda, Sarpong wanogesha Siku ya Mwananchi, Yanga ikiipiga 2-0 Aigle Noir; Tazama Highlights

YANGA 2-0 AIGLE NOIR: Usajili mpya umelipa: Wachezaji wawili Tuisila Kisinda na Michael Sarpong wameifungia Yanga magoli mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi. Ni mchezo wa kirafiki ukiwa na lengo la kutambulisha wachezaji katika kilele cha wiki ya mwananchi, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mkapa, Dar es Salaam. Tazama Highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 14/06/2020
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 14/06/2020

Simba kulazimishwa sare ya Ruvu Shooting, pamoja na maandalizi ya mchezo wa JKT Tanzania vs Yanga yaliyotawaliwa na tambo, na Azam kutoa kichapo cha 2-0 kwa Mbao FC ni miongoni mwa story kubwa kwenye Mshikemshike Viwanjani ya leo. Ungana na Ahmed Ally akiwa na Rashid seif. Pia utaona Singida United walipocheza mchezo wa kirafiki ndhidi ya Singida Veterani. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



SIMBA vs KMC ( 3 - 1) UCHAMBUZI wa BARAKA MPENJA, Ataja YANGA WALIPOFELI JANA...
SIMBA vs KMC ( 3 - 1) UCHAMBUZI wa BARAKA MPENJA, Ataja YANGA WALIPOFELI JANA...

SIMBA vs KMC ( 3 - 1) UCHAMBUZI wa BARAKA MPENJA, Ataja YANGA WALIPOFELI JANA... Dakika 90 za mtanange wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya KMC umemalizika kwa Mnyama kumchapa mbabe wa Kinondoni mabao (3-1)… Mtanange huo umechezwa leo Juni 08, katika uwanja wa MO Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar… Baada ya kumalizika kwa dakika tisini hizo, Global TV imezungumza na mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja, na kupata uchambuzi wake wa mechi hiyo.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul George  #Paul Pogba  #Best Goalkeeper Saves  #Best Goals Ever  #Cleveland Cavaliers  #Best Football Defending Skills  #Best Football Defending Skills  #Counter Attack Goals Football  #Zlatan Ibrahimovi  #Thomas Muller  

Popular Users

#TheRock  #Harry_Styles  #criscyborg  #normmacdonald  #MikePereira  #WWE  #josecanseco  #neymarjr  #si_vault  #billsimmons  #Drake  #sportspickle  #darrenrovell  #billbarnwell  #KingJames