Content removal request!


MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 14/06/2020

Simba kulazimishwa sare ya Ruvu Shooting, pamoja na maandalizi ya mchezo wa JKT Tanzania vs Yanga yaliyotawaliwa na tambo, na Azam kutoa kichapo cha 2-0 kwa Mbao FC ni miongoni mwa story kubwa kwenye Mshikemshike Viwanjani ya leo. Ungana na Ahmed Ally akiwa na Rashid seif. Pia utaona Singida United walipocheza mchezo wa kirafiki ndhidi ya Singida Veterani. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz