SIMBA vs KMC ( 3 - 1) UCHAMBUZI wa BARAKA MPENJA, Ataja YANGA WALIPOFELI JANA... Dakika 90 za mtanange wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya KMC umemalizika kwa Mnyama kumchapa mbabe wa Kinondoni mabao (3-1)… Mtanange huo umechezwa leo Juni 08, katika uwanja wa MO Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar… Baada ya kumalizika kwa dakika tisini hizo, Global TV imezungumza na mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja, na kupata uchambuzi wake wa mechi hiyo.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline