TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA" KLABU ya Yanga imeibuka na ushindi wa bao (1-0) dhidi ya Mwadui FC kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na mshambuliaji wao namba moja, Michael Sarpong, dakika ya 81 na kuwainua mashabiki wa timu ya Yanga inayonolewa na Kaimu Kocha, Juma Mwambusi. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Mwambusi kusisimama akiwa kwenye benchi baada ya Zlatko Krmpotic, kufutwa kazi Oktoba 3 baada ya kumaliza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkapa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline