Kagera Sugar 0-2 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 22/12/2021
Kagera Sugar 0-2 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 22/12/2021

KAGERA SUGAR 0-2 MBEYA KWANZA: Timu ya Mbeya kwanza imeilaza Kagera Sugar 2-0 kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Wafungaji katika mchezo huo ni Wlliam Edgar na Oscar Mwajanga.

Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee?
Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee?

#simba #kagera #Bodiyaligi Tazama hasira ya mashabiki wa simba na kagera baada ya kuhairishwa mechi ya Simba na Kagera sugar Kaitaba bukoba, ikisemekana ni baada ya wachezaji wengi wa Simba kuwa wagonjwa! Mashabiki wa simba waliosafiri kutoka, Chato na maeneo mengine ya mbali wamelalamikia mechi hiyo kuhairishwa, wakihoji upatikanaji wa pesa yako kama inarudishwa au la! Wakiitaka bodi ya ligi kuwa inafanya tathmini ya mchezo mapema! Homa inayoendelea dar es salaam imewanyima wanabukoba na maeno ya karibu nafasi ya kuwaona wachezaji wao wanaowapenda wa simba akiwemo Inonga, MK14, Medie Kagere, Banda na wengine wengi.

LICHA YA MECHI YA KAGERA SUGAR VS SIMBA SC KUAHIRISHWA/KAGERA WATUA UWANJANI/ONA WAKIINGIA KAITABA
LICHA YA MECHI YA KAGERA SUGAR VS SIMBA SC KUAHIRISHWA/KAGERA WATUA UWANJANI/ONA WAKIINGIA KAITABA

Mpenja Tv ipo Mkoani Kagera kukusogezea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kagera dhidi ya Simba. . Licha ya mechi hiyo kuahirishwa Kagera sugar watua uwanja wa kaitaba. . Fungua video hii kupata habari kamili. #kagerasugar #simbasc #mpenjatv

Kagera Sugar 1-2 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2021
Kagera Sugar 1-2 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2021

Timu ya Geita Gold FC leo imepata ushindi wake wa kwanza kwenye #NBCPremierLeague kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Magoli yote mawili ya Geita yamefungwa na George Mpole huku Kagera Sugar wakipata bao lao kupitia kwa Mbaraka Yussuph.

Magoli | Kagera Sugar 1-2 Geita Gold FC | NBC Premier League 20/11/2021

#TBCLIVE: KAGERA SUGAR (1) vs (0) MTIBWA SUGAR (UWANJA WA KAITABA, KAGERA)
#TBCLIVE: KAGERA SUGAR (1) vs (0) MTIBWA SUGAR (UWANJA WA KAITABA, KAGERA)

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ

Highlights | Kagera Sugar 0-1 Yanga SC | TPL 29/09/2021
Highlights | Kagera Sugar 0-1 Yanga SC | TPL 29/09/2021

Feisal Salum 'Feitoto' amefunga goli pekee kwa Yanga na kuipa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Tazama bao kenyewe. #Feitoto #YangaSC #KageraSugar Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

SHANGWE LA MASHABIKI WA YANGA BUKOBA NI BALAA/WASIKIE WAKITAMBA HAPA
SHANGWE LA MASHABIKI WA YANGA BUKOBA NI BALAA/WASIKIE WAKITAMBA HAPA

Septemba 29, 2021 Uwanja wa Kaitaba, Kagera, TPL: FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga SC (Mfungaji Feisal Salum 'Fei Toto'). Mashabiki wa Yanga SC wamwagika baada ya ushindi, ona vibe lao hapa. #YangaSC #KageraSugar #TPL #MpenjaTV

« Previous Next »

Popular Tags

#Los Angeles Lakers  #Best Goals Ever  #Best Football Defending Skills  #David Silva  #Best Football Defending Skills  #Allen Iverson  #Boston Celtics  #Paul Pogba  #Michael Jordan  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#tigerwoods  #JayBilas  #katyperry  #NASA  #KimKardashian  #DeAndre  #floydmayweather  #MieshaTate  #RyanBabel  #rioferdy5  #RSherman_25  #billsimmons  #GNev2  #kobebryant