Content removal request!


Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee?

#simba #kagera #Bodiyaligi Tazama hasira ya mashabiki wa simba na kagera baada ya kuhairishwa mechi ya Simba na Kagera sugar Kaitaba bukoba, ikisemekana ni baada ya wachezaji wengi wa Simba kuwa wagonjwa! Mashabiki wa simba waliosafiri kutoka, Chato na maeneo mengine ya mbali wamelalamikia mechi hiyo kuhairishwa, wakihoji upatikanaji wa pesa yako kama inarudishwa au la! Wakiitaka bodi ya ligi kuwa inafanya tathmini ya mchezo mapema! Homa inayoendelea dar es salaam imewanyima wanabukoba na maeno ya karibu nafasi ya kuwaona wachezaji wao wanaowapenda wa simba akiwemo Inonga, MK14, Medie Kagere, Banda na wengine wengi.