Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee? by @Yuboxtv - Post Details

Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee?

#simba #kagera #Bodiyaligi Tazama hasira ya mashabiki wa simba na kagera baada ya kuhairishwa mechi ya Simba na Kagera sugar Kaitaba bukoba, ikisemekana ni baada ya wachezaji wengi wa Simba kuwa wagonjwa! Mashabiki wa simba waliosafiri kutoka, Chato na maeneo mengine ya mbali wamelalamikia mechi hiyo kuhairishwa, wakihoji upatikanaji wa pesa yako kama inarudishwa au la! Wakiitaka bodi ya ligi kuwa inafanya tathmini ya mchezo mapema! Homa inayoendelea dar es salaam imewanyima wanabukoba na maeno ya karibu nafasi ya kuwaona wachezaji wao wanaowapenda wa simba akiwemo Inonga, MK14, Medie Kagere, Banda na wengine wengi.

Similar Posts!

TAZAMA :CLUB AFRICAIN WAKIFANYIWA VURUGU MUDA MCHACHE KABLA MECHI KUANZA | Yanga Sc Vs Club Africain
TAZAMA :CLUB AFRICAIN WAKIFANYIWA VURUGU MUDA MCHACHE KABLA MECHI KUANZA | Yanga Sc Vs Club Africain

TAZAMA :CLUB AFRICAIN WAKIFANYIWA VURUGU MUDA MCHACHE KABLA MECHI KUANZA | Yanga Sc Vs Club Africain ...

KOCHA WA DE AGOSTO AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATABIRIA MAKUBWA/ AFUNGUKA MAZITO
KOCHA WA DE AGOSTO AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATABIRIA MAKUBWA/ AFUNGUKA MAZITO

KOCHA WA DE AGOSTO AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATABIRIA MAKUBWA/ AFUNGUKA MAZITO #simba #sports #alhilal ...

KISA KIPIGO, KOCHA WA RUVU SHOOTING AMTAJA MAYELE/ HAJATETEMA LEO
KISA KIPIGO, KOCHA WA RUVU SHOOTING AMTAJA MAYELE/ HAJATETEMA LEO

KISA KIPIGO, KOCHA WA RUVU SHOOTING AMTAJA MAYELE/ HAJATETEMA LEO #yanga #mayele #nbcpremierleague ...

KOCHA WA DODOMA JIJI ALIA NA KUKOSA UZOEFU/ AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATOA HOFU WENZAKE.
KOCHA WA DODOMA JIJI ALIA NA KUKOSA UZOEFU/ AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATOA HOFU WENZAKE.

KOCHA WA DODOMA JIJI ALIA NA KUKOSA UZOEFU/ AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATIA HOFU WENZAKE.

TAZAMA GOLI LA MKUDE LILILOIPA USHINDI SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISONS | 1-0
TAZAMA GOLI LA MKUDE LILILOIPA USHINDI SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISONS | 1-0

TAZAMA GOLI LA MKUDE LILILOIPA USHINDI SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISONS | 1-0 Mpira umemalizika katika dimba ...

VIDEO: SIMBA WASIANGALIE UKUBWA, GEITA GOLD WAMEJIPANGA | MANENO YA MASHABIKI UWANJA WA CCM KIRUMBA
VIDEO: SIMBA WASIANGALIE UKUBWA, GEITA GOLD WAMEJIPANGA | MANENO YA MASHABIKI UWANJA WA CCM KIRUMBA

VIDEO: SIMBA SC WAMEELEMEWA, GEITA GOLD WAMEJIPANGA | MANENO YA MASHABIKI UWANJA WA CCM KIRUMBA ...

LIVE;  Sakho, Chama ndani ya CCM Kirumba Kuivaa Geita Gold Fc | George Mpole Vs Kibu Denis Goal
LIVE; Sakho, Chama ndani ya CCM Kirumba Kuivaa Geita Gold Fc | George Mpole Vs Kibu Denis Goal

LIVE; Sakho, Chama ndani ya CCM Kirumba Kuivaa Geita Gold Fc | George Mpole anaipa goli Geita Gold Matajiri wa Madini ...