Kagera Sugar 1-1 Namungo | Highlights | NBC Premier League 04/03/2022
Kagera Sugar 1-1 Namungo | Highlights | NBC Premier League 04/03/2022

Timu ya Kagera Sugar imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Kagera wametangulia kupata bao kupitia kwa Mbaraka Yusuph dakika ya 22 lakini Namungo wakachomoa kupitia kwa Emmanuel Charles dakika ya 26.



Kagera Sugar 2-1 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 05/02/2022
Kagera Sugar 2-1 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 05/02/2022

Kagera Sugar imeendeleza ubabe kwa kushinda mchezo wa tatu mfululizo kwenye ligi kuu baada ya leo kuitandika Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Kaitaba mjini Bukoba. Eric Mwijage ndiye aliyefunga magoli yote mawili ya Kagera Sugar huku Vicent Abubakary Vicent akifunga goli pekee la Coastal Union.



Alichokisema Manara atoboa Siri Morrison kufukuzwa Simba,Alipwe pesa zake,Kumbumbatia Barbara CEO
Alichokisema Manara atoboa Siri Morrison kufukuzwa Simba,Alipwe pesa zake,Kumbumbatia Barbara CEO

Alichokisema Manara atoboa Siri Morrison kufukuzwa Simba,Alipwe pesa zake,Kumbumbatia Barbara CEO Alichokisema Bernard Morrison Atoa Tamko zito kuhusu Kurudi Yanga baada ya kufukuzwa Simba,,! Breaking:Simba Wamsimamisha Bernard Morrison, Manara ashindwa kujizuia,Avujisha siri anatua Jangwani Alichokisema Manara kuhusu Mwamuzi mechi ya Simba vs Tz Prisons, Avujisha maamuzi magum,Hovyo hafai KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi Alivyotoa Utata! Penalt walio pewa Simba dhidi ya Tz Prisons (1-0),,! Video:TFF watoa Tamko Zito Kumfungia Mwamuzi wa Simba vs Tanzania Prisons (1-0)Penalt ya Mchongo Alichokisema Manara baada ya Simba kuishinda Tanzania Prison (1-0)Penalt walio pewa,Makolo Wanabebwa Goli la Penalt Kagere 69' Min Simba vs Tanzania Prisons 1-0 | Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights Simba vs Tanzania Prisons 1-0| Goli la Kagere 69' min P' Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights Simba vs Tanzania Prisons 0-0| kosa kosa Timu zote :Ligi Kuu ya NBC Tanzania Highlights 🔴LIVE:SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS | LIGI KUU YA NBC TANZANIA (NBCPL) Alichokisema manara na Wanachama wa Yanga kuhusu mchezo wa Simba vs Tanzania Prisons,Ligi kuu NBC TZ Mastaa Yanga Wapigwa marufuku kutumia Piza na Baga,Majeruhi ya Gafra, kuto kupona haraka,Daktari wa Jeuri ya Ubingwa Yanga hapa,Nabi afunguka, Mayele aubdiwa kamati maalum Atoa tamko,,,! Manara amuelezea Fiston Mayele Mshambuliaji Wa Yanga kutoka DR Congo "Ni Zaidi ya Straika" Bongo,,,! Alichokisema Manara kuhusu mchezo wao na Mbeya city,Ubingwa ligi Kuu "Makolo Wana Uzuzu "No kiporo,! Breaking:GSM, Manji, Rostam wamwaga mabilion Yanga, Mfumo mpya wa Kisasa, Uchaguzi wa Rais,neema juu Alichokisema Manara kuhusu Ratiba mzunguzo wa Tano Azam sports Federation Cup Ruvu shooting vs Simba Mayele Limemkuta Jambo Yanga, Nabi Ampa Onyo, Kibwana anahesabu siku Yanga Matola Atoa kauli ,,,! Nabi:Hakuna wa kutuzuia aahidi balaa,atenga dakika 270 za mauaji Yanga,mechi 13 bila kipigo,,,! Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga Dar city (6-0)ASFC "Makolo wamepata Size yao" Dar Sec,,! Tazama Magoli Yote Simba Vs Dar City 6-0| Azam Sports Federation Cup Highlights Magoli Yote Simba vs Dar city 5-0| Azam sports Federation cup ASFC Highlights Simba vs Dar city 5-0| Magoli Yote Azam sports Federation Cup (ASFC) Highlights 🔴LIVE:SIMBA SC VS DAR CITY FC | AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) BENJAMIN MKAPA STADIUM Alichokisema Manara kuelekea mchezo Wa Kombe la shirikisho la Azam sports Simba dhidi ya Dar City,,! Golikipa Mpya wa Yanga Abutwarib Msheri Afunguka Mazito ujio wa Djigui Diarra Ndani ya Yanga,,,! Yanga watikisa na Magolikipa Wawili Wanaofanya vizurii,Djigui Arejea Je? Mshery Kumpisha,Vita mpya Alichokisema Manara baada ya Yanga kuifunga Mbao Fc (1-0) "Kiwango Kibovu" kikubwa ushindi,,,! Goli la Mayele 53' Min Yanga vs Mbao Fc | Azam sports Federation cup (ASFC) Highlights Yanga Sc Vs Mbao Fc 0-0 | Kosa Kosa timu zote :Azam Sports Federation cup (ASFC) Highlights 🔴LIVE:YANGA SC VS MBAO FC | AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) CCM KIRUMBA LEO Kocha Wa Yanga Atangaza Kikosi Cha kwanza cha Yanga dhidi ya Mbao Fc Azam sports Federation cup Yanga Yapata Pigo Zito wachezaji (11) kuikosa Mbao Fc kesho Azam sports Federation cup (ASFC) Alichokisema manara kuelekea mchezo wa kombe la Azam sports Federation cup "mtafungwa makolo" Maboss Wa Yanga GSM Wamuita Mshambuliaji tishio kutoka DR Congo Fiston Mayele Fasta,Mkataba,Hawaachi Yanga Hawazuiliki Waonyesha dalili 5 za Ubingwa,Sita watupwa Nje Aucho ndani,Simba kuhujumiwa Alichokisema Manara kuhusu Kocha wa Simba "Kocha Wa Mchongo" Makolo ni Mazuzu,Wanajambo jipya wiki h Breaking:TFF kuishushia Simba Rungu nzito baada ya kugomea Interview za Azam baada ya kufungwa jana Msimamo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania baada ya mechi moja ya leo Tarehe 26 Jannuary 21/2022, Yanga Top Alichokisema Afisa habari wa Simba Ahmed Ally baada ya Kagera sugar kuifunga Simba Sc (1-0)Ubingwa Alichokisema Manara baada ya Kagera sugar kuifunga Simba (1-0) Kaitaba, "Makolo hii ni Trela" Goli la Hamis Kiiza Kagera sugar vs Simba 1-0 | Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights Kagera sugar vs Simba 0-0| Kosa kosa za timu zote :Ligi Kuu ya NBC Tanzania Highlights 🔴LIVE:KAGERA SUGAR VS SIMBA SC | LIGI KUU YA NBC TANZANIA (KAITABA STADIUM) Alichokisema Manara kuelekea mchezo wa Kagera Sugar vs Simba leo Ligi kuu "Makolo Wataichungulia" Breaking:Alichokisema Manara baada ya Ajali waliyopata Mash #SimbaSc #Yanga #NBCPL #YangaSc #RuvuShooting #NBCPL #CAF #JwanengGalaxy #CAF #KlabubingwaAfrika #CAFChampionLeague #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #MoneyHeist #SquidGame #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba #WCB MEXTRA #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv



DAAH! SHABIKI WA SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI BAADA YA KICHAPO TOKA KWA KAGERA SUGAR
DAAH! SHABIKI WA SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI BAADA YA KICHAPO TOKA KWA KAGERA SUGAR

Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ambapo wenyeji Kagera Suagar wanakabiliana na Mabingwa Watetezi Simba Sc 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Bukoba kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #KageraSugarVsSimbasc#KageraSugar #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV



HASSAN MWATAREMA MSHAMBULIAJI KAGERA SUGAR ATUPA DONGO KWA INONGA BAKA NA ONYANGO/MSIKIE HAPA
HASSAN MWATAREMA MSHAMBULIAJI KAGERA SUGAR ATUPA DONGO KWA INONGA BAKA NA ONYANGO/MSIKIE HAPA

Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ambapo wenyeji Kagera Suagar wanakabiliana na Mabingwa Watetezi Simba Sc 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Bukoba kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #KageraSugarVsSimbasc#KageraSugar #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV



Goli la Hamis Kizza | Kagera Sugar 1-0 Simba | NBC Premier League 26/01/2022
Goli la Hamis Kizza | Kagera Sugar 1-0 Simba | NBC Premier League 26/01/2022

Mabingwa watetezi wa #NBC premierLeague, Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71.



Goli la Prisons | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League 26/12/2021
Goli la Prisons | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League 26/12/2021

Goli pekee la Marco Gerald Mhilu limeipa ushindi wa bao 1-0 Tanzania Prisons dhidi ya Kagera Sugar, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Kaitaba mjini Bukoba.



#TBCLIVE: KAGERA SUGAR (0) VS (1) TANZANIA PRISONS  (UWANJA WA KAITABA,KAGERA)
#TBCLIVE: KAGERA SUGAR (0) VS (1) TANZANIA PRISONS (UWANJA WA KAITABA,KAGERA)

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ




« Previous Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Shaquille O'Neal  #Golden State Warriors  #Paul George  #Best Goalkeeper Saves  #James Harden  #Football Skills  #LeBron James  #Best Goalkeeper Saves  #Neymar  

Popular Users

#britneyspears  #steveaustinBSR  #LAKings  #nfl  #cesc4official  #JasonDufner  #SportsCenter  #ArianFoster  #taylorswift13  #obj  #TheRealJRSmith  #ddlovato  #NiallOfficial