Yuboxtv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Kwenye mechi kubwa vimbwenga ni vingi sana haswa kijana huyu ambaye alikutana na dhahama ya kukoswa kupigwa na stewart wa uwanjani huku viongozi wa Klabu ya Yanga senzo,manara,hersi wakipongezana baada ya kupata ushindi wa tabu dhidi ya Mbao wabishi kutoka Mwanza
#namungo #biashara #unachezaje Magili ya Namungo na Biashara united NI KATIKA MCHEZO WA NBC PRIMIER LEAGUE KATI YANAMUNGO FC NA BIASHARA UNITED YA MARA MAPEMA KIPINDI CHA KWANZA NAMUNGO WALIPATA GOLI LA MAPEMA KATIKA MCHEZO HUO LAKINI HALIKUWEZA KUDUMU BAADA YA KUSSAWAZISHWA NA DENNIS NKANE THE WONDER KID KUTOKAMARA BAADA YA GOLI LAKE LA KICHWA KUTIKISHA NYAVUZA NAMUNGO FC.
#GeitaGold #Mbeyakwanza #nbc #azamtv #mpenjatv #geita #mbeyakwanza #ligikuu Tazama Magoli ya Penati, Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza leo Tarehe 27/12/2021. Magoli yakifungwa na George Mpole dakika ya 51 na la Mbeya kwanza likifungwa na Habib Kyombo dakika ya 81.
#simba #kagera #Bodiyaligi Tazama hasira ya mashabiki wa simba na kagera baada ya kuhairishwa mechi ya Simba na Kagera sugar Kaitaba bukoba, ikisemekana ni baada ya wachezaji wengi wa Simba kuwa wagonjwa! Mashabiki wa simba waliosafiri kutoka, Chato na maeneo mengine ya mbali wamelalamikia mechi hiyo kuhairishwa, wakihoji upatikanaji wa pesa yako kama inarudishwa au la! Wakiitaka bodi ya ligi kuwa inafanya tathmini ya mchezo mapema! Homa inayoendelea dar es salaam imewanyima wanabukoba na maeno ya karibu nafasi ya kuwaona wachezaji wao wanaowapenda wa simba akiwemo Inonga, MK14, Medie Kagere, Banda na wengine wengi.
#utopolo #simba #yanga #zanzibar Shabiki wa simba maarufu kama mzee wa utopolo akitamba na klabu ya yanga, simba wale ni wetu tumewaonea huruma tu ila asijisifu maana kule Zanzibar mapinduzi cup sitomuacha kabisa yule ni wangu tu sisi yanga hatuna presha tuna huruma sana #simba #yanga #nbc #zanzibar #mapinduzi #utopolo #shabiki #wanajangwani #wanasimba
TAZAMA :CLUB AFRICAIN WAKIFANYIWA VURUGU MUDA MCHACHE KABLA MECHI KUANZA | Yanga Sc Vs Club Africain ...
KOCHA WA DE AGOSTO AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATABIRIA MAKUBWA/ AFUNGUKA MAZITO #simba #sports #alhilal ...
KISA KIPIGO, KOCHA WA RUVU SHOOTING AMTAJA MAYELE/ HAJATETEMA LEO #yanga #mayele #nbcpremierleague ...
KOCHA WA DODOMA JIJI ALIA NA KUKOSA UZOEFU/ AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ AWATIA HOFU WENZAKE.
TAZAMA GOLI LA MKUDE LILILOIPA USHINDI SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISONS | 1-0 Mpira umemalizika katika dimba ...
VIDEO: SIMBA SC WAMEELEMEWA, GEITA GOLD WAMEJIPANGA | MANENO YA MASHABIKI UWANJA WA CCM KIRUMBA ...
LIVE; Sakho, Chama ndani ya CCM Kirumba Kuivaa Geita Gold Fc | George Mpole anaipa goli Geita Gold Matajiri wa Madini ...
LIVE: MAJIGAMBO YA AHMED ALLY CCM KIRUMBA MASHABIKI WAMSHANGILIA |Simba Sc Vs Geita Goldfc Yes tayari ...