Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Mashujaa FC. Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 2-1. Magoli ya Simba yamefungwa na Leonel Ateba kwa mikwaju ya penati. Goli la Mashujaa limefungwa na Jafary Kibaya
#MuunganoCup2025: Tazama golikipa wa Yanga SC, Abuutwalib Mshery alivyoonesha umahiri wake katika kupangua mikwaju ya penati. Fainali ni JKU dhidi ya Yanga SC, Alhamisi Mei 1, 2025 saa 1:15 usiku FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #SuperLeague #YeNaniAsife #Zimamoto #YangaSC #ZimamotoYanga
Tazama matukio yote makubwa yaliyojiri kwenye mchezo kati ya KVZ dhidi ya Yanga SC kwenye Muungano Cup Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 2-0 Wafungaji ni Stephane Aziz Ki na Denis Nkane
#MuunganoCup2025: Mikwaju ya peanati iliyowatupa nje Singida Black Stars baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya 2-2 FT’: JKU SC 2-2 Singida BS (penati: 6-5) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #JKUSC #SingidaBlackStars
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo NBC Premier League kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 4-0 Magoli yamefungwa na Clatous Chama, Aziz Ki na Mzize ambaye amefunga magoli mawili.
Yanga imeichakaza Stand United kutoka Championship mabao 8-1, manne yakitoka kwa Stephane Aziz Ki.... ukiwa ni mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Clatous Chama aliyefunga mawili, Nickson Kibabae goli la pili na Kennedy Musonda goli la nane..... Goli la kufutia machozi kwa Stand United limefungwa na Msenda Senda dakika ya 49.
Yanga imeichakaza Stand United kutoka Championship mabao 8-1, manne yakitoka kwa Stephane Aziz Ki.... ukiwa ni mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Clatous Chama aliyefunga mawili, Nickson Kibabae goli la pili na Kennedy Musonda goli la nane..... Goli la kufutia machozi kwa Stand United limefungwa na Msenda Senda dakika ya 49. Haya hapa magoli yote tisa...
Yanga SC imelipa kisasi kwa kuitandika Azam FC mabao 2-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.... Yanga imepata mabao yake yote mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Pacome Zouzoua dakika 11 na Prince Dube dakika ya 34, huku Azam FC wakipata bao lao dakika ya 81. Tazama magoli....