#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
#MuunganoCup2025: Tazama golikipa wa Yanga SC, Abuutwalib Mshery alivyoonesha umahiri wake katika kupangua mikwaju ya penati. Fainali ni JKU dhidi ya Yanga SC, Alhamisi Mei 1, 2025 saa 1:15 usiku FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #SuperLeague #YeNaniAsife #Zimamoto #YangaSC #ZimamotoYanga
🔴#Live:ZIMAMOTO ( 1 ) VS ( 1 ) YANGA-MUUNGANO CUP – GOMBANI STADIUM-MTANI LEO TUANGALIE SISI SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 https://bit.ly/3MraYdQ ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Kikosi cha Simba usiku wa jana (Machi 7, 2019) kilifanya mazoezi ya mwisho kwenye mji wa Algeria, ikiwa ni kipindi chake cha pili cha mazoezi tangu kuwasili nchini Algeria, safari hii kikitumia Uwanja unaomilikiwa na Kituo cha Zimamoto cha Algiers. Leo asubuhi (Machi 8, 2019) kimeanza safari ya kutoka Algers kwa ndege, kuelekea katika Mji wa Bechar ambako ndiko mchezo wao dhidi ya JS saoura utapigwa. Kabla ya safari, Kocha Mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems alizungumza na Azam TV kuhusu mechi hiyo na kugusia urefu wa safari, mbinu atakazotumia kucheza na JS Saoura pamoja na hali ya hewa waliyokutana nayo.
Billiat stars as chiefs clinch a much needed win. Plz subscribe for new content
Ni mchezo wa kwanza kwa Singida United katika michuano hii inayoendelea kwenye dimba la Amaani Zanzibar na inaibuka na ushindi wa mabao 3-2.
imba imepangwa kuanza katika raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wawakilishi wa Djibouti, Gendarmerie Tnale. Ikifanikiwa kuitoa Gendarmerie ya Djibouti, Simba itakutana na mshindi kati ya Al-Masry ya Misri dhidi ya Green Buffaloes ya Zambia. Upande mwingine katika michuano hiyo timu ya Zimamoto ya Zanzibar nayo imepangwa kucheza dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia.