KVZ FC 0-2 Yanga | Highlights | Muungano Cup 2025 - 26/04/2025
Tazama matukio yote makubwa yaliyojiri kwenye mchezo kati ya KVZ dhidi ya Yanga SC kwenye Muungano Cup
Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 2-0
Wafungaji ni Stephane Aziz Ki na Denis Nkane