Fountain gate FC 0-4 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League - 21/04/2025
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo NBC Premier League kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga
Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 4-0
Magoli yamefungwa na Clatous Chama, Aziz Ki na Mzize ambaye amefunga magoli mawili.