Magoli ya jasho na damu, Coastal Union Vs Pamba katika kuisaka ligi kuu. FT': Coastal Union 3-1 Pamba (Agg: 5-3). #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #PlayOffs #VPLFDLPlayOffs #FDL #MtibwaSugar #CoastalUnion #PambaFC #TransitCamp Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Simba SC huenda wakatangaza ubingwa wao wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara endapo watapata sare au ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Coastal Union. Mechi inapigwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kukufikia LIVE #AzamSports1HD. Muda huu ni uchambuzi kuelekea mchezo huo, studio ukiwa na Endelea kufuatilia Taarifa ya Habari Wikiendi kutoka #Azam UTV kupitia kisimbuzi cha #aAzamTV Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii; ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ungana na Osman Kazi na Ahmed Hassan kwenye KIPYENGA CHA MWISHO akichambua namna waamuzi walivyochezesha michezo ya Ligi Kuu nchini kati ya Namungo Vs Simba; Ruvu shooting Vs Simba. KIPYENGA CHA MWISHO huruka kila Alhamis saa 3:30 usiku kupitia AzamSports1HD Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ilikuwa ni vita ya majeshi ambapo Tanzania Prisons wameichapa JKT Tanzania bao 1-0 wakiwa uwanja wa nyumbani Nelson Mandela, Sumbawanga. Huu ni uuchambuzi baada ya mchezo huo tukiwa LIVE #AzamSports1HD . Studio ni Ahmed Ally, Ally Mayay na Rashid Seif.
Leo ni vita ya majeshi.... Tanzania Prisons wanakutana na JKT Tanzania wakiwa uwanja wa nyumbani Nelson Mandela, Sumbawanga. Huu ni uuchambuzi kuelekea mchezo huo utakaoanza saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD . Studio ni Ahmed Ally, Ally Mayay na Rashid Seif.
Leo zinapigwa mechi mbili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, ikianza ya Dodoma Jiji vs Polisi Tanzania, na kisha ni Azam vs Tanzania Prisons. Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi hizo LIVE #azamSports1HD Usikose kutazama Morning trumpet,taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Michuano ya #SimbaSuperCup inahitimishwa leo kwa mechi moja kali sana, kati ya Simba vs TP Mazembe kwenye Uwanja wa Taifa. Mechi inaanza rasmi saa 11:00 jioni na itakuwa LIVE #azamSports1HD
Tazama magoli yote yaliyopatikana ndani ya dakika 90 za mtanange wa nusu fainali Yanga ikiichapa Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi. Wananchi wakatinga fainali kwa penati 5-4. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz