Ilikuwa ni vita ya majeshi ambapo Tanzania Prisons wameichapa JKT Tanzania bao 1-0 wakiwa uwanja wa nyumbani Nelson Mandela, Sumbawanga. Huu ni uuchambuzi baada ya mchezo huo tukiwa LIVE #AzamSports1HD . Studio ni Ahmed Ally, Ally Mayay na Rashid Seif.