Content removal request!


LIVE | TANZANIA PRISONS VS JKT TANZANIA - VPL 14/03/2021

Leo ni vita ya majeshi.... Tanzania Prisons wanakutana na JKT Tanzania wakiwa uwanja wa nyumbani Nelson Mandela, Sumbawanga. Huu ni uuchambuzi kuelekea mchezo huo utakaoanza saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD . Studio ni Ahmed Ally, Ally Mayay na Rashid Seif.