NBCPL Pape Ousman Sakho na chuma cha maana: #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates ...
Pichani ni sehemu ya kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho kipo jijini Mbeya kikijifua kwenye mvua kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Mbeya City. Mtaani kwako ‘mkikipiga’ kwenye mvua mnaiitaje….? Mechi saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague
Huyu hapa Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda Nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi ya Waamuzi, Wachezaji na Mabenchi ya Ufundi kwenye mechi ya Yanga SC Vs Ihefu, Simba SC Vs Mbeya City na Geita Gold Vs Dodoma Jiji. KIPYENGA CHA MWISHO ni kila Alhamis saa 3:30 Usiku kupitia #AzamSports1HD
FT': Simba 3-2 Mbeya City. #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka ...
ihefuscvsyangasc #nbcpremierleague #highlights #azamsports1hd #simbasc #yangasc #live #livescore #livestream #gwijilavpaji ...
Moja kati ya mambo yaliyofanyika siku chache kabla ya Simba kukutana na US Gendarmerie Aprili 3, 2022 ni Rais wa Heshima, Mohamed Dewji (Mo Dewji) kutembela kambi ya Simba na kuzungumza na wachezaji, benchi la ufundi pamoja na viongozi. Ndani ya kipindi hiki pia utashuhudia jinsi vikundi vya mashabiki chini ya Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally vilivyokuwa vikijipanga kuelekea mechi hiyo. Hii ni #SimbaTV ya Jumamosi 02/04/2022 #AzamSports1HD
Klabu ya Yanga imewatambulisha wachezaji wapya wawili ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/2022. Wachezaji hao ni beki Djuma Shabani na winga Jesus Ducapel Moloko. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Aliyekuwa Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara anazungumza na waandishi wa habari. Mkutano uko LIVE katika chaneli ya #AzamSports1HD #AzamTvUpdates, #Simba #HajiManara #TFF #Soka #AzamTV Usikose kuangalia Taarifa ya Habari ya #AzamUTV ifikapo saa 2: 00 usiku huu, leo Alhamisi, Julai 29 kupitia kisimbuzi cha #AzamTV au AzamTV Max App. Miongoni mwa habari tulizo nazo ni pamoja na waganga wakuu waambiwa wachangamkie chanjo za corona ili kuzifikisha kwa wananchi. Unaweza kuipakua AzamTV Max App kupitia simu yako ya Android. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz