Simba Sc Vs ihefu Leo kipind cha kwanza kinaisha Kwa Goli Tatu Kwa sifuri DHIDI ya ihefu Ligi kuu nchini Tanzania #VPL #Simba #Ihefu #AzamSport2HD LIVE #AzamSports1HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #SimbaSC #KMCFC #KinoBoys #SSC #SimbaKMC #youtubeShorts
Simba wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Goli pekee la Simba limefungwa na John Bocco. Tazama uchambuzi baada ya mechi hiyo LIVE #AzamSports1HD ukiwa na Dominick Salamba, Ally Mayay na Ahmed Ally Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#DondooZaMichezo Leo ni Gwambina FC vs Azam FC kwenye Dimba la Gwambina Complex, Misungwi Mwanza. Kuelekea mchezo huo, kocha msaidizi wa Azam, Vivier Bahati anatoa neno. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #GwambinaFC #AzamFC #GwambinaAzam #AdhuhuriLIVE Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ni uchambuzi kuelekea mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Plateau United ya Nigeria. Game inapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Saaam na kukufikia LIVE #AzamSports1HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba” - Mashabiki wa Simba mkoani Iringa wakijinadi ‘kuichinja’ Plateau United huku wakitamba kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Kiukweli wale jamaa wameyakanyaga…” - Mashabiki wa Simba kutoka jijini Dar es Salaam wameipongeza timu yao, huku wakitamba kwamba Plateau United watakiona cha moto uwanja wa Benjamin Mkapa. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zinachezwa mechi tatu za VPL, lakini tunaanza na mbili, ambazo ni Mbeya City vs Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar vs Coastal Union saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD Baadaye saa 1:00 usiku ni Azam vs Dodoma Jiji. Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi hizo. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tangu Biashara United ipande Ligi Kuu, Yanga haikuwahi kufanikiwa kuondoka na ushindi katika dimba la Karume mjini Musoma. Kichwa cha Michael Sarpong kimevunja mwiko huo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz