Tazama magoli yote yaliyopatikana ndani ya dakika 90 za mtanange wa nusu fainali Yanga ikiichapa Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi. Wananchi wakatinga fainali kwa penati 5-4. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz