VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino. Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako... #KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight
IBRA CLASS vs ALAN PINA: Hili hapa pambano zima kati ya Mtanzania Ibrahim Class dhidi ya Allan Pina raia wa Mexico, likimalizika kwa Ibra Class kupata ushindi wa KO raundi ya tisa... pambano likiwa ni la raundi kumi. Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.